Kubenea alisharejea CCM?

Kubenea alisharejea CCM?

1. Huyu Mheshimiwa Mstaafu yupo wapi siku hizi?

2. Alisharejea au anarejea lini CCM ale mema ya nchi?

3. Daah, Kuna watu wanasahaulika haraka Sana.
Waliingia makubaliano ya kuacha kuripoti Habari za Chadema ili aipaishe ACT, sasa kwa bahati mbaya Chadema Haijawahi kuhujumiwa na wafanya hujuma wakabaki salama
 
Kubenea na yule mwenzie Pamba diwani wa zamani Sinza , sijawahi waelewa..nadhani utawala uliopita wa Jiwe, walikuwa na USHIRIKA na hawa watu
 
Kapewa ubunge wa ubungo kaenda kuongelea shanga za Wana wake. Stupid kabisa. Apotee kabisa asionekane Tena kwenye Siasa. Alituangusha Sana Wana Ubungo.
 
Anaendelea na gazeti lake la Mwanahalisi ila amepunguza kuandika maovu ya serikali ya CCM
 
Back
Top Bottom