Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Hujatolewa na wandishi wewe . Ulitoa mp 10 watoto wa mjini wakaingia kakzini na kugeuza case. Soma ukweli wako acha kujiliza. Wenzako WALIPOKWA na case pale kisutu ilikuwa unadhura mlimani city ukijidai umesusa