Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kamati Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo imemteua Saed Kubenea kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020, Kubenea alikuwa Mbunge wa Ubungo (2015-2020) kupitia CHADEMA kabla ya kukihama Chama hicho na kuhamia ACT-Wazalendo