Uchaguzi 2020 Kubenea ateuliwa na ACT-Wazalendo kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni

Uchaguzi 2020 Kubenea ateuliwa na ACT-Wazalendo kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni

Kwanini kwenye ukweli usiseme ukweli? Sinaga habari za kuishi kwa matumaini
Hapo Kinondoni upinzani umeporomoka kiasi hicho hadi Jimbo la zamani la Mdee, Mtulia mmeshashindwa tayari. Haya poa kwa kuulezea ukweli wa mambo. Teh teh teh
 
Kuna uwezekana mkubwa wa Abbas Tarimba kushinda ubunge wa kinondoni.

Tayari ccm ina majimbo mawili Dar, ilala na kinondoni.
Na akirudishwa Mtulia je? Halafu kule Ilala Zungu alinaswa na viongozi wa CCM akigawa rushwa.
 
kuna watu walibebwa na CHADEMA ila wao kwa akili zao finyu wakahisi wao ndio wameibeba CHADEMA!
 
Sawa naona Ccm watapoteza majimbo mengi kwa kulazimisha kumiliki jiji.
 
Back
Top Bottom