Kwa alivyokata pumzi, huyu jamaa sijui mwisho wake kama utakuwa mzuri!ACT imempitisha Said Kubenea kugombea ubunge jimbo la kinondoni. Ikumbukwe kuwa Kubenea alikuwa ni mbunge wa cdm jimbo la ubungo kwenye awamu iliyo pita.
View attachment 1539209
Kuna uwezekana mkubwa wa Abbas Tarimba kushinda ubunge wa kinondoni.ACT imempitisha Said Kubenea kugombea ubunge jimbo la kinondoni. Ikumbukwe kuwa Kubenea alikuwa ni mbunge wa cdm jimbo la ubungo kwenye awamu iliyo pita.
View attachment 1539209
Yaani unafurahia jimbo kwenda kwa Tarimba (CCM) badala ya wapinzani wenzenu ACT. Hadi mgombea wa Chadema jimbo hilo humpi nafasi kabisa! You are hopeless?!Kwa Tarimba sina shaka
Haha .. sidhani Kama atapata kitu
Anakuja kinondoni kufanya nini huyu
Kwanini kwenye ukweli usiseme ukweli? Sinaga habari za kuishi kwa matumainiYaani unafurahia jimbo kwenda kwa Tarimba (CCM) badala ya wapinzani wenzenu ACT. Hadi mgombea wa Chadema jimbo hilo humpi nafasi kabisa! You are hopeless?!