Alizungumza wapi? Kuna rekodi wapi?
Hasha, crusade katika etimology inatoka huko kwenye vita lakini si lazima iwe vita vya kidini, ukifanya campaign for or against an idea/ person with a great passion una crusade tayari.
Mimi nimeitumia kwa maana ya tatu hapo chini
Ona
crusade definition | Dictionary.com
1. (often initial capital letter) any of the military expeditions undertaken by the Christians of Europe in the 11th, 12th, and 13th centuries for the recovery of the Holy Land from the Muslims.
2. any war carried on under papal sanction.
3. any vigorous, aggressive movement for the defense or advancement of an idea, cause, etc.: a crusade against child abuse.
Hizo ni personal innuendos ambazo ziko off topic, sasa kama mzee ni dereva au landlord inahusu vipi hapa?
Mu expose vizuri basi, usifanye a
half-assed job kama hii.Onyesha vizuri Kubenea unafiki wake uko wapi, we dare talk openly here.