Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Kwa ufupi huna mpya na huna chochote zaidi ya tuhuma zisizo na mbele wala nyuma
gamba la nyoka una papara utafikiri unaiba mke wa watu, soma taratibu
zaidi ya chuki binafsi huna mpya yoyote hapa JFHaya ni mawazo yako kwa hiyo wewe endelea kuamini hivyo. Siko hapa kwenye mashindano ya miss congeniality (kama wewe?) bali kwenye mapambano ya taifa la Tanzania. I do it my way so get used to it!
zaidi ya chuki binafsi huna mpya yoyote hapa JF
Lol...vya watu vitamu ila usishikwe tuu..hii sijaisikia JK ameingilia mke wa nani tena?
are you down with O.P.P?
Naona unataka yaletwe mengi hapa mkuu kwani ni zaidi ya mmoja.
Naona unataka yaletwe mengi hapa mkuu kwani ni zaidi ya mmoja.
Moja tuu linatosha....
huyu yake ni ushahidi uliotolewa mahakamani, sio kusikia na wamekaa kikao na mliwa mali na kuwaahidi wakitekeleza mission ya mbaya wake watapata kichele.
sasa ya JK ni simulizi maana hatujasikia kama waume wakilalamika ila maneno tu ya mjambaji
Shahidi kesi ya Kubenea: Watuhumiwa waliahidiwa mil. 2/-
na Mwandishi Wetu
SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya kuwajeruhi na kuwamwagia tindikali waandishi wawili wa magazeti ya Mwanahalisi na Mseto, amedai watuhumiwa waliahidiwa kulipwa sh milioni mbili na bosi wa Kampuni ya Bakhresa, endapo wangefanikiwa kumzuru Saed Kubenea.
Shahidi huyo, Sajenti David, aliiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana kuwa, maelezo hayo yalitolewa na mshitakiwa, Frednand Mtepa na kuongeza kuwa bosi huyo alidai Kubenea alikuwa akitembea na mke wake.
Alidai baada ya watuhumiwa kuahidiwa fedha hizo, walifanya kikao katika baa ya Mtepa iliyoko Mwananyamala kwa lengo la kufanikisha tukio hilo.
Mtuhumiwa Frednand kwa ridhaa yake mwenyewe alieleza walifanya kikao Desemba 25 mwaka jana na Januari 5 mwaka huu, kabla ya kutenda kosa walikuwa na wenzao wanne, alieleza shahidi huyo.
Shahidi huyo aliwataja watuhumiwa wanaodaiwa kuwepo kwenye kikao hicho ni Alex Mwandembele, Hashim Ally, Augustino Joseph na mtuhumiwa mwingine aliyetambuliwa kwa jina moja la Maneno ambaye shahidi alieleza kumtafuta mshitakiwa huyo ili aweze kuunganishwa na wenzake.
Alieleza Mwandembele ndiye aliyekuwa amekabidhiwa fedha hizo ambazo walitakiwa kugawana baada ya kukamilika kwa tukio hilo.
Shahidi huyo alidai tuhuma za kujeruhiwa kwa Kubenea hakuhusiani na masuala ya kisiasa, bali ni kama matukio mengine ya ushambuliaji yanavyoweza kutokea.
Kesi hiyo inaendelea na ushahidi wake leo ambako Kubenea anatarajiwa kutoa ushahidi wake.
Washitakiwa katika kesi hiyo wanadaiwa kutenda kosa hilo Januari 5 mwaka huu, eneo la Kinondoni, Dar es Salaam.
tanzania daima
Siku hizi hatuna budi kujifunza kuripoti kwa usahihi. Kichwa cha habari kinaonesha kama vile imethibitishwa pasipo shaka badala ya kuhoji maana kesi ndio inaendelea. Hatujamsikia Kubenea akijibu madai ya huyo shahidi au huyo bosi wa Bakhresa na yeye anasemaje. Vipi kuhusu huyo mama (mke wa mtu) naye atasemaje.
Kwa vile hii habari haijathibitishwa pasipo shaka naomba iwekwe pamoja na "alama ya kuuliza" au iseme "tulitumwa kumkomesha Kubenea kwa uzinifu" - Shahidi
Lakini ilivyo sasa ni upotoshaji wa hali ya juu wa facts on the ground.
Unaongelea niini hapa... hueleweki!
MWK,
Huyu kibunango na mtu wa pwani ni mtu mmoja. Usipoteze naye muda sana. Nilimgundua kutokana na kutojua kuandika kifasaha na pili kutokuwa na kazi ya kufanya kama kawaida yao watu wa.......
Get life buddy...Kibunango - Mtu Wa Pwani Nimeona Katika Post Zenu Za Mwisho Muda Mliopishana Yaonyesha Mnajuana
Kibunango - Mtu Wa Pwani Nimeona Katika Post Zenu Za Mwisho Muda Mliopishana Yaonyesha Mnajuana