Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 790
Thread hii imeonyesha namna gani binadamu wana mapungufu!
Kubenea anaelekea kuungwa mkono kula wake za watu ati kwa kuwa tu anachachafya mafisadi wa namna ile nyingine (mafisadi wa fedha).
Kwa maana nyingine mafisadi wa mapenzi wanahalilishwa kwa kuwa tu ati una-chachafya mafisadi wa fedha na madaraka ambao pia ni watuhumiwa tu kama ilivyo Kubenea kutuhumia ku-changia tendo takatifu na kondoo mwingine wa bwana.
No sooner Ukweli utakuwa wazi Kampuni ya Simu itamaliza kila kitu.
Kumbuka: Kabla ya upepo wa siasa Tanzania neno fisadi lilikuwa na maana hii anayotuhumiwa Kubenea.