Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
jamaa mwenyewe si anagombea MAFIA?Njaa kali, njaa kitu kibaya jamani hasa kwa n'tu maskini unauza haki yako hivi hivi na kuongea uongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa mwenyewe si anagombea MAFIA?Njaa kali, njaa kitu kibaya jamani hasa kwa n'tu maskini unauza haki yako hivi hivi na kuongea uongo.
jamaa mwenyewe si anagombea MAFIA?
pesa zimetoka CCM!......Mweh! anazo pesa za Kampeni lakini? lazima nae atachokonolewa aliko pata pesa za kampeni si unajua "Muoshwa huoshwa" we subili
pesa zimetoka CCM!......
alivyomwagiwa asid tu akakubal KUNATA NA BITIOk ndo maana siku hizi kafunga mdomo!!!!!! mweh
Huyu Mwakalinga tulisha muonya wapambe alio kuwa anawatumia ndio walikuwa wapotoshaji wakuu maana kabla hajaenda hata Kyela ilisha fahamika Mwakalinga yupo Kyela mara yupo Arusha wapambe tu ndio walio kuwa wana report yawezekana jamaa katumia data zile za wapambe wa Mwakalinga. Wakuwalaumu ni hawa wapambe walizidisha mno nuksi na kama hawajapata laptop basi itakuwa balaaaaa kabla ya uchaguzi watamwaga sana sumu.
Field80,
Ni wapambe gani hao wa Mwakalinga waliokuwa wanapotosha habari?
nakumbuka vizuri sana INVISIBLE aliwahi kutoa taarifa ambazo mwisho wa siku zilipingana na kilichofanyika/uloichokifanya!wewe unajua......!unataka sema gani sasa kwa hili?????Field80,
Ni wapambe gani hao wa Mwakalinga waliokuwa wanapotosha habari?
Hapa kuna kundi lililokuwa limeandaliwa kwa makusudi kujifanya ni wapambe wa Mwakalinga wakati walikuwa wanampinga Mwakalinga.
Ndio watu hao hao waliposikia Mwakalinga anaondoka Dar J3 wakakimbilia JF kuandika Mwakalinga ameingia Kyela wakati safari ya Mwakalinga ilikuwa kuelekea Arusha. Ni hao hao pia ambao walipoambiwa Mwakalinga anaondoka kurudi London, wakakimbilia JF kusema wametoka kumsindikiza airport bahati kwao wakafanya makosa kwenye taarifa zao ambayo yalilingana na kile ambacho Mwakalinga aliwaambia. Kwa mfano mtu anayekufahamu anakuuliza unaondoka saa ngapi ili tuonane airport. Kwasababu umemshutukia na hutaki kuonana naye, unamdanganya na kumwambia saa saba na nusu wakati wewe unaondoka saa sita. Anakimbilia JF kuandika unaondoka saa saba na nusu na ndege A na kufika London saa fulani. Ratiba inakuwa sio sahihi lakini inalingana na ulivyomwambia, hapo unapata confirmation 100% kwamba ni nani alikuwa anavujisha hizo habari.
Watu hao walipogundua wameshutukiwa, wamepotea hata JF na labda wamekuja kwa majina tofauti.
Mtanzania/Mwakalinga
Asante mkuu kwa maelezo yako ijapokuwa Kubenea aligusa gusa ila kumbe kuna ka ukweli tatizo nilionalo Kubenea ametia chumvi.
Nina kaswali naomba nikuulize, KWA NINI HUKUMUONA/MUULIZA DR. MWAKEYEMBE KAMA ANAGOMBEA AU LA? Asante sana na heshima mbele
kyela kuna mwakyembe mwenyekiti wa tume iliyomwondoa EDWARD LOWASA.LOWASA NI TAJIRI MKUBWA. RAFIKI WA ROSTAM Na KIKWETE (RAIS).bado una swali?jamani hivi kyela kuna nini?
mbona kuna majimbo mengi sana ya uchaguzi hayaongelewi?
kila kukicha ni kyela, mwakipesile na mwakalinga
Geoff,nakumbuka vizuri sana INVISIBLE aliwahi kutoa taarifa ambazo mwisho wa siku zilipingana na kilichofanyika/uloichokifanya!wewe unajua......!unataka sema gani sasa kwa hili?????
nilikuwa naitest R.A.M yangu!kumbe bado iko safi😀😱Geoff,
Nakumbuka na nakubaliana na wewe. Invisible pamoja na FMES walitoa taarifa fulani kwa nia njema ili kunilinda na kupunguza mashambulizi hata kama kile walichoandika hakikutoka kwangu moja kwa moja. Nina uhakika waliandika kwa nia njema kabisa.
Ninachokisema ni ile kwamba wameongea na mimi na nimekanusha kwamba sina mpango kabisa wa kugombea. Siwalaumu kwasababu walitoa kwa nia njema na kulikuwa na sababu za kufanya hivyo hata kama mimi kama Mwakalinga sikumwambia mtu yeyote kwamba nakanusha sina mpango wa kugombea.
Najua wote wako hapo na mnaweza kuwauliza kama katika mazungumzo yangu na wao nilikanusha kwamba sina mpango kabisa wa kugombea Kyela. In fact naamini walikuwa wanafahamu safari yangu kabla hata ya kuondoka UK kwamba ilikuwa ni pamoja na kwenda kuonana na wapiga kura Kyela. Nilipoongea nao nilipokuwa Ngorongoro, tuliongelea zaidi juu ya ile taarifa ya kwamba niko Kyela na nimeanza kampeni kinyume na sheria.
Mimi wakati huo sikuwa na uwezo wa kusoma JF kwahiyo sikujua kulikuwa kumewaka moto kiasi gani. Naamini Invisible na FMES walitumia busara yao kuamua watoe taarifa kwa namna gani. Ila leo kwa mara ya kwanza nakuthibitishia kwa asilimia 100, sikukanusha, si kwa invisible wala FMES nia yangu ya kugombea Kyela.
Nilipokuja JF na kugundua tuhuma hizo kwamba wiki mbili nilisema sigombei na ghafla nagombea, niliamua kukaa kimya ili kutokuwaingiza motoni zaidi Invisible na FMES ambao naamini walitumia nguvu zao kubwa sana kunitetea na kunilinda hata kwa yale ambayo hawakuwa na uhakika.
Sasa moto umezimika ni vizuri kuweka record wazi na ukweli ndio huo na mnaweza kuwauliza wahusika.
Na wewe Geoff, unakumbusha hata yaliyopita?
Fidel80,Kuna kikundi kilikuwepo hapa kwa masrahi ya Mwakalinga naweza sema sasa hivi kimepotea kabisa
Mtanzania/Mwakalinga
Asante mkuu kwa maelezo yako ijapokuwa Kubenea aligusa gusa ila kumbe kuna ka ukweli tatizo nilionalo Kubenea ametia chumvi.
Nina kaswali naomba nikuulize, KWA NINI HUKUMUONA/MUULIZA DR. MWAKEYEMBE KAMA ANAGOMBEA AU LA? Asante sana na heshima mbele