Kubenea: Ukiona kuna MwanaCHADEMA anakimbilia kwa Msajili kushtaki Ujue nyuma yake kuna mtu anayetumika na Mfumo. Kuna Mtu hakubaligi kushindwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo Mh Saeed Kubenea amemwambia Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika kuwa Ukiona Mwanachadema anakimbilia kwa Msajili wa vyama vya siasa kushtaki ujue kuna Mtu wa Mfumo nyuma yake, kuna Watu hawakubaligi kushindwa

Ni huko Ukurasani X

Mlale Unono 😀
 
Hivi wewe mbona umeshindwa kuifahamu ccm kuhusu huyu kasongo pro max wako huyu kawa kijana sasa tokea baba yako anatembea na wewe kwenye mayai yako.

IMG_0612.jpeg
 
View attachment 3242069
Hakunaga Mwanachadema anayemfikia Wassira kwa Wingi wa Maarifa na Uwezo wa kujieleza

Tundu Lisu kakimbia Mdahalo 😂🔥
 
Tangu kuasisiwa upya kwa Mfumo wa Vyama vingi vya Siasa hapa Tanzania Mwaka 1992, ndani ya Vyama vya Upinzani wamepandikizwa Mamluki wengi Sana kwenye Vyama hivyo.

Wapo Undercovers na Maafisa Vipenyo wengi Sana ndani ya Vyama vya Upinzani, kazi yao kubwa ni ku-disrupt shughuli halali za Upinzani katika kujenga Haki na Demokrasia
 
..ni justified political episionage
 
Tangu kuasisiwa upya kwa Mfumo wa Vyama vingi vya Siasa hapa Tanzania Mwaka 1992, ndani ya Vyama vya Upinzani wamepandikizwa Mamluki wengi Sana kwenye Vyama hivyo.

Wapo Undercovers na Maafisa Vipenyo wengi Sana ndani ya Vyama vya Upinzani, kazi yao kubwa ni ku-disrupt shughuli halali za Upinzani katika kujenga Haki na Demokrasia
Sahihi kabisa

Mbowe akajifanya anawachukua akina Zitto Silinde Halima Katambi Kutoka vyuoni kumbe ni Vijana wake 😂
 
Kubenea ni zee nafik sana..

Conspiring kwenye kila kitu .

Kwamba Mchome hana akili ya kujua kwamba kuna KM wa chama chake na pia kuna msajili wa vyama vya siasa?

Hizi sumu wanazomwaga ni za kitoto sana..

CDM will be over soon or later na ndunduza za namna hii
 
Back
Top Bottom