Kubenea: Ukiona kuna MwanaCHADEMA anakimbilia kwa Msajili kushtaki Ujue nyuma yake kuna mtu anayetumika na Mfumo. Kuna Mtu hakubaligi kushindwa!

Kubenea: Ukiona kuna MwanaCHADEMA anakimbilia kwa Msajili kushtaki Ujue nyuma yake kuna mtu anayetumika na Mfumo. Kuna Mtu hakubaligi kushindwa!

Kubenea ni zee nafik sana..

Conspiring kwenye kila kitu .

Kwamba Mchome hana akili ya kujua kwamba kuna KM wa chama chake na pia kuna msajili wa vyama vya siasa?

Hizi sumu wanazomwaga ni za kitoto sana..

CDM will be over soon or later na ndunduza za namna hii
Amka unaota
 
Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo Mh Saeed Kubenea amemwambia Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika kuwa Ukiona Mwanachadema anakimbilia kwa Msajili wa vyama vya siasa kushtaki ujue kuna Mtu wa Mfumo nyuma yake, kuna Watu hawakubaligi kushindwa

Ni huko Ukurasani X

Mlale Unono 😀
Kubenea ameshatupwa kwenye dustbin ya siasa
 
Attachments

  • Gorille_des_plaines_de_l'ouest_à_l'Espace_Zoologique.jpg
    Gorille_des_plaines_de_l'ouest_à_l'Espace_Zoologique.jpg
    167.6 KB · Views: 2
Huyo mtu aondoke yeye, asiharibu chama. CHADEMA NI CHAMA CHA WATU hakiwezi kufutwa kiholela kwa kuwa mtu huyo hakubali kushindwa
 
Tangu kuasisiwa upya kwa Mfumo wa Vyama vingi vya Siasa hapa Tanzania Mwaka 1992, ndani ya Vyama vya Upinzani wamepandikizwa Mamluki wengi Sana kwenye Vyama hivyo.

Wapo Undercovers na Maafisa Vipenyo wengi Sana ndani ya Vyama vya Upinzani, kazi yao kubwa ni ku-disrupt shughuli halali za Upinzani katika kujenga Haki na Demokrasia
Mkuu kama Banyamulenge wa DRC Congo.
 
Tangu kuasisiwa upya kwa Mfumo wa Vyama vingi vya Siasa hapa Tanzania Mwaka 1992, ndani ya Vyama vya Upinzani wamepandikizwa Mamluki wengi Sana kwenye Vyama hivyo.

Wapo Undercovers na Maafisa Vipenyo wengi Sana ndani ya Vyama vya Upinzani, kazi yao kubwa ni ku-disrupt shughuli halali za Upinzani katika kujenga Haki na Demokrasia
ila kwa sasa kuna chama kimepata mwenyekiti mpinzani kweli
 
Kubenea ni zee nafik sana..

Conspiring kwenye kila kitu .

Kwamba Mchome hana akili ya kujua kwamba kuna KM wa chama chake na pia kuna msajili wa vyama vya siasa?

Hizi sumu wanazomwaga ni za kitoto sana..

CDM will be over soon or later na ndunduza za namna hii
Ni kweli cdm itakufa maana aliyepanga kufia madarakani kakosa uenyekiti😂😂. Maumivu yenu yanaeleweka, kama mlitegemea kuifanya cdm duka lenu, basi duka limepata mmliki mwingine kabla ya ndoto yenu kutimia. Mbowe ana siasa za kishamba sana.
 
Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo Mh Saeed Kubenea amemwambia Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika kuwa Ukiona Mwanachadema anakimbilia kwa Msajili wa vyama vya siasa kushtaki ujue kuna Mtu wa Mfumo nyuma yake, kuna Watu hawakubaligi kushindwa

Ni huko Ukurasani X

Mlale Unono 😀
Hakuna namna Lisu ndiyo Mwenyekiti wetu
 
Hapa chadema wapo kimya, mwenyekiti hakosei yani wamekuwa nyumbu huku katiba ikisiginwa
UWT mnaumia na mambo ya CHADEMA lakini chama chenu hakijawahi kuchagua Mwenyekiti, Makamo wala Katibu Mkuu, nyie ni wajinga sn
 
Ni kweli cdm itakufa maana aliyepanga kufia madarakani kakosa uenyekiti😂😂. Maumivu yenu yanaeleweka, kama mlitegemea kuifanya cdm duka lenu, basi duka limepata mmliki mwingine kabla ya ndoto yenu kutimia. Mbowe ana siasa za kishamba sana.
Bado upo na FAM mkuu?
Mbona mnahamisha magoli daily?
Sasa mimi kwangu CDM ni chama kidogo sana kupata manufaa hapo....,

Manufaa yapo CCM, CDM ni kwa waganga njaa ...

Tusubir tuone.
 
Bado upo na FAM mkuu?
Mbona mnahamisha magoli daily?
Sasa mimi kwangu CDM ni chama kidogo sana kupata manufaa hapo....,

Manufaa yapo CCM, CDM ni kwa waganga njaa ...

Tusubir tuone.
Sasa pilipili usiyoila yakuwashia nini?
 
Sasa pilipili usiyoila yakuwashia nini?
Tulia, nyie pigeni harakati mwanangu..

Unakumbuka kauli kwamba CDM ni mali ya Umma? Hapa ndipo mlipoachia, tunazungumzia mali ya umma.

Issue ya Pesa , CDM haina hela ya kufurahia kama mnavyoaminishwa na mapanki..

Sadaivi amepanic maji ya shingo kaona atulie afanyie siasa chumbani..

Mawakili wa Dr Slaa hawajalipwa wamesambaratika....

Bado hilo huoni, mnamlaumu mtu aliejenga CDM kwa miaka 30 zaid sana kwa fedha zake...

Kuweni na fadhila...., at least basi msimsimange.

La zaidi sana hamuwezi kutuzuia kusema.
 
Tangu kuasisiwa upya kwa Mfumo wa Vyama vingi vya Siasa hapa Tanzania Mwaka 1992, ndani ya Vyama vya Upinzani wamepandikizwa Mamluki wengi Sana kwenye Vyama hivyo.

Wapo Undercovers na Maafisa Vipenyo wengi Sana ndani ya Vyama vya Upinzani, kazi yao kubwa ni ku-disrupt shughuli halali za Upinzani katika kujenga Haki na Demokrasia
Sasa hapo ndio tunapodhibitisha kuwa Watanzania wengi ni wajinga. Kama tunatambua hilo kwa nini sasa hatuwakatai hao CCM na hilarious zao zote? Kwa nini sasa hivi tumeshapewa njia nzuri ya kuwaondoa walaghai ya NO REFORM NO ELECTION na bado tunakubali kuwasikiliza hao mamluki? Huu ni ujinga wetu wenyewe, Hatujaamka tumelala! Unakubalije kama wewe umeelewa ni walaghai mkeo anakuwa CCM kwenye ulughai? Au mumeo anakuwa CCM kwenye ulaghai? Ni kweli kwa mfumo dume hutaweza kumlazimisha atoke huko, lakini waweza KUMNYIMA hadi akanyooka huku ukimfundisha.
 
Attachments

  • IMG-20250219-WA0011.jpg
    IMG-20250219-WA0011.jpg
    102.3 KB · Views: 2
Huyo mtu aondoke yeye, asiharibu chama. CHADEMA NI CHAMA CHA WATU hakiwezi kufutwa kiholela kwa kuwa mtu huyo hakubali kushindwa
Nadhani wanajisumbua tuu, katiba iko wazi.
 
Attachments

  • IMG-20250220-WA0001.jpg
    IMG-20250220-WA0001.jpg
    66.6 KB · Views: 2
Mfikirishi,unamuita Wasira kilaza!.
Subiri kampeini zianze ndo utajua kamaLisu ni Mbeligiji ama Mtazanzania
 
Ni nani huyo
Huyo hafai kabisa ndani ya chama, chama ndio kwanza kinajitahidi kushinda uchaguzi, hakiundi serikali, kweli kama wewe ni mwanachana kwa nini usihoji ndani ya chama na kama hukuridhika ndipo unpotakiwa kusonga mbele.
 
Back
Top Bottom