Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HeheheheheBora umejijua, kuna mwenzako kazi kuanzish nyuzi tu zisizoeleweka, mara mimi nilipata divisheni three, mara nataka kumuoa miss, mara video ya mimi kumegwa siyo ya kweli....
Anyway tukutane Muhimbili pale nje ukakae na wenzio
Kweli wewe ni Cannabis [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Hizi hazina uhusiano wowote na uchizi, ni tumbaku tu hiyo. Utaishia kuchafua meno na kama matumizi yakizidi sana unaweza kupata oral cancer. Hamia kwenye bangi mkuu achana na tumbaku !
Hujui tu mkuu, mimi ni heavy smoker, nilikuwa napiga hiyo kitu then nazimua na phantom kama mbili za jani. Yaani bunda moja natoa phantom kama mbili tatu.. Yaani najijua kuwa siko sawa.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Hizi hazina uhusiano wowote na uchizi, ni tumbaku tu hiyo. Utaishia kuchafua meno na kama matumizi yakizidi sana unaweza kupata oral cancer. Hamia kwenye bangi mkuu achana na tumbaku !
Afu ukitoka hapo unahamia chumvini kule BADOO mkuu,hahahHujui tu mkuu, mimi ni heavy smoker, nilikuwa napiga hiyo kitu then nazimua na phantom kama mbili za jani. Yaani bunda moja natoa phantom kama mbili tatu.. Yaani najijua kuwa siko sawa.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Kichwa kichafu, yaani bado ni mzima [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] maana mimi hata sijui kama niko sawa, hiyo kitu nilikuwa nagonga pcs 2 kwa siku, na manikchand nilikues ndio nashushia, then baadae nazimua na jani.... Lakini kuna washkaji walikuwa wanakula jani tu, nilijaribu kuwapa hiyo basi wakawa wanazima kabisa na kusweat kinoma[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu hivi nilibahatika kukaa nazo kando ila nilijaribu bangi kidogo kama mzaha naona nami imenihathiri. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ugoro mtupu hauna kitu kabisa, kwasababu huo ni kama ugoro sema kuna vitu vinamiksiwa humo, wahindi hao yaani ukila hiyo ugoro tupa kule[emoji1] [emoji1] [emoji1]kuna kipindi nilifikia nikawa nachanganya hiyo kitu na jani then nanyonga pamoja, stimu lake sio la nchi hii kabisa [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Na ugoro kidogo hujawahi kutumia mkuu?