Kuber & Manikchand

Kuber & Manikchand

Foxhound

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
28,710
Reaction score
76,243
7dd85d4cb185c74bbfcb83cb6c86f775.jpg

Wakuu mi napenda kujua afya za akili kwa wale tuliotumia hivyo vitu je tupo salama? Mi kiukweli nimeathirika na hapa nilipo akili yangu haipo na nimekuwa chizi wa msimu. Nawasilisha
 
Uzuri wenyewe umeshajijua....
Ila pole sana.
Wanakuja kufahamisha wataalamu....
 
Bora umejijua, kuna mwenzako kazi kuanzish nyuzi tu zisizoeleweka, mara mimi nilipata divisheni three, mara nataka kumuoa miss, mara video ya mimi kumegwa siyo ya kweli....

Anyway tukutane Muhimbili pale nje ukakae na wenzio
 
Hehehehehe
 
Hizi hazina uhusiano wowote na uchizi, ni tumbaku tu hiyo. Utaishia kuchafua meno na kama matumizi yakizidi sana unaweza kupata oral cancer. Hamia kwenye bangi mkuu achana na tumbaku !
 
Hizi hazina uhusiano wowote na uchizi, ni tumbaku tu hiyo. Utaishia kuchafua meno na kama matumizi yakizidi sana unaweza kupata oral cancer. Hamia kwenye bangi mkuu achana na tumbaku !
Kweli wewe ni Cannabis [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Hizi hazina uhusiano wowote na uchizi, ni tumbaku tu hiyo. Utaishia kuchafua meno na kama matumizi yakizidi sana unaweza kupata oral cancer. Hamia kwenye bangi mkuu achana na tumbaku !
Hujui tu mkuu, mimi ni heavy smoker, nilikuwa napiga hiyo kitu then nazimua na phantom kama mbili za jani. Yaani bunda moja natoa phantom kama mbili tatu.. Yaani najijua kuwa siko sawa.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Afu ukitoka hapo unahamia chumvini kule BADOO mkuu,hahah
 
Mkuu hivi nilibahatika kukaa nazo kando ila nilijaribu bangi kidogo kama mzaha naona nami imenihathiri. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afu ukitoka hapo unahamia chumvini kule BADOO mkuu,hahah
[emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Mkuu hivi nilibahatika kukaa nazo kando ila nilijaribu bangi kidogo kama mzaha naona nami imenihathiri. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kichwa kichafu, yaani bado ni mzima [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] maana mimi hata sijui kama niko sawa, hiyo kitu nilikuwa nagonga pcs 2 kwa siku, na manikchand nilikues ndio nashushia, then baadae nazimua na jani.... Lakini kuna washkaji walikuwa wanakula jani tu, nilijaribu kuwapa hiyo basi wakawa wanazima kabisa na kusweat kinoma[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Na ugoro kidogo hujawahi kutumia mkuu?
Ugoro mtupu hauna kitu kabisa, kwasababu huo ni kama ugoro sema kuna vitu vinamiksiwa humo, wahindi hao yaani ukila hiyo ugoro tupa kule[emoji1] [emoji1] [emoji1]kuna kipindi nilifikia nikawa nachanganya hiyo kitu na jani then nanyonga pamoja, stimu lake sio la nchi hii kabisa [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Aisee

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
Back
Top Bottom