bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
[emoji3][emoji3] kila mmoja na ndoto zake mzee, nmechukua laki 7 na 50 [emoji3]Hongeraaa....aisee daaah kweli tonatofautiana sana me nawaza nikishinda bet nikatumbue na totoz kumbe wadau wanawaza unyunyu
Anyway umenunua bei gan mkuu?
Acha kujifukiza udi shekh..Hii perfume ina nini ndani yake?
Duuuhhhh. Haya maisha kweli yana gapeAcha kujifukiza udi shekh..
Ina maunyama ndan yake fanya kuinunua ujionee mkuu [emoji3]Hii perfume ina nini ndani yake?
[emoji3][emoji3] aitafuteAcha kujifukiza udi shekh..
Sasa mzee ikiisha itabidi usubiri tena mkeka wa 750k utiki ndio ununue nyingine[emoji848][emoji3][emoji3] kila mmoja na ndoto zake mzee, nmechukua laki 7 na 50 [emoji3]
Ndo maisha yangu hayo ya kutegemea betting, yani hapa naitumia kwa tahadhari kuduchu kiduchu [emoji3] mana c mchzoSasa mzee ikiisha itabidi usubiri tena mkeka wa 750k utiki ndio ununue nyingine[emoji848]
[emoji23][emoji1787]
Umenunua store gani hapa bongo?.Ndo maisha yangu hayo ya kutegemea betting, yani hapa naitumia kwa tahadhari kuduchu kiduchu [emoji3] mana c mchzo
Umenunua store gani hapa bongo?.
Kuna duka liko masaki if not msasani nadhani panaitwa marashi house of fragrance ndo ana hizi perfume ni nzuri lakini gharama. Nyingi ni kuanzia 500k kwenda mberee.Umenunua store gani hapa bongo?.
Hii creed unaweza kutumia kwa muda gani??[emoji3][emoji3] kila mmoja na ndoto zake mzee, nmechukua laki 7 na 50 [emoji3]
[emoji3] nazo ziko vyema tu, usiwe na shakaWacha niendelee na hizi za kupima
Muda inategemea na mtu binafs anavyotumia, ila kwa hela nlotoa aisee natumia kdg kdg nifike nayo mpk 2022 [emoji3]Hii creed unaweza kutumia kwa muda gani??