KuBET kumenikutanisha na Creed

KuBET kumenikutanisha na Creed

Siku hizi kupata Original ya Creed mpaka uingie store ya Creed. Na wameshajua watu wanazipenda, unauziwa copy ambayo huwezi itofautisha na original.

Kati ya Creed Aventus 100, original zinaweza zisifike 10.
Hilo liko waz [emoji1666]
 
[emoji3][emoji3] kila mmoja na ndoto zake mzee, nmechukua laki 7 na 50 [emoji3]
Mkuu naomba distinguish features za hiyo Creed ukicompare na perufmes nyinginezo...maana mir naipenda Royal Mirage..inauzwa Elfu 18 tu.
 
Back
Top Bottom