Nielewesheni kuhusu hii BIKO huwa naona watu wanashinda ila siielewi elewi
Bila ya kurudisha hasara zangu siachi,
Kanji kaisha nipiga sana ,nakomaa nae mpaka hela yangu irudi na kitaeleweka tu
Nielewesheni kuhusu hii BIKO huwa naona watu wanashinda ila siielewi elewi
Kuna member humu alianza kuwa tapeli sababu ya hiyo michezo ya kubet..Kubet always mchezaji ndio loser in the long run, nashangaa kuna watu hapa jamiiforums wanasema ku bet ni ajirana wanadai wamejenga nyumba na wanasomesha watoto,
Wapo wanao bet na wanapata faida kweli, ila hawa wapo highly disciplined na wanafanyia utafiti wa kutosha michezo kabla ya kucheza..ILA HAWASHINDI KILA MCHEZO, ila in the long run wanakuwa na net gain, Na watu hawa Tanzania hawapo, maana siamini mswahili anaweza kuwa na nidhamu kwenye jambo kama hili
Vijana fanyeni kazi hakuna pesa rahisi msidanganywe, hao wanao bet na kupata faida effort na nidhamu wanazoweka hapo ni kama mfanyakazi aliyeajiriwa anavyoweka effort na nidhamu kwenye ajira la sivyo kibarua kinaota nyasi...
Kwahiyo wewe unajua sana hesabu kuliko vichwa wa Vegas? Vegas never lose my friend.. Mwenzenu humu alianza utapeli kwa michezo hiyo, kuwa makini..Nilipumzika kidogo kwa kuwa nilikuwa na mambo mengi. Nitarejea tena Jumanne. Unajua kubet sio mpira. Betting is mathematics! Ingekuwa its all about footbal kina Kitenge na kina Dauda wangekuwa mabilionea. Nimeunda mathematical formula kibao zinazoweza kumla mbetishaji kwa many possibilities ila tatizo nikiziweka zile kwa asilimia mia napata loss. So lazima niziweke with some probability of winning perhaps 60%. Tatizo linakujaga kutokea nikiliwa huwa nakasirika ila pia nikila nakula kidogo kwa kuwa ninakuwa nime hedge kwa kutumia stakes nyingi...
Wewe ume break-even ha ha ha!Mimi nilizokula na nilizoliwa ni sawa sawa na draw... Sijapata faidda wala hasara...
Yeah. Nimebreak even. But nikiruidi ninataka kutengeneza 'Super normal profit'... π Nimeshajiwekea malengo. Pesa yangu ya kodi ya nyumba lazima itoke kwa mbetishaji πππWewe ume break-even ha ha ha!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kweli mkuu hujakoseaNaona hujaelewa.
Hasara ni kubwa kuliko Faida.
Na iko hivi, ikitokea MTU amekula mkeka mmoja, anafurahi na kusahau mikeka mitano alioliwa nyuma.
Hela uitafute mwenyewe, mtu akushauri jinsi ya kutumia?! Kama una bet na nyumbani hakuna chakula, au malazi shida au wawasumbuwa watu hapo sawa kubet hakukufai, ila kwa hasara na faida yako bila kumuumiza mtu naona poa kabisa aise...Sijawahi kula hasara kwenye kubet, kuna wakati nilikua nimeliwa zaidi ya 700k nikataka kuacha kubet, nikajipa matumaini nikatia 200k nikacheza mikeka ya 50k kwa timu 4, nikalala kuamka asubuhi mzigo unasoma 2mil, toka siku hiyo mimi na kubet ni kama mapacha, nakula nakupoteza at the end namake profit