Kubet always mchezaji ndio loser in the long run, nashangaa kuna watu hapa jamiiforums wanasema ku bet ni ajirana wanadai wamejenga nyumba na wanasomesha watoto,
Wapo wanao bet na wanapata faida kweli, ila hawa wapo highly disciplined na wanafanyia utafiti wa kutosha michezo kabla ya kucheza..ILA HAWASHINDI KILA MCHEZO, ila in the long run wanakuwa na net gain, Na watu hawa Tanzania hawapo, maana siamini mswahili anaweza kuwa na nidhamu kwenye jambo kama hili
Vijana fanyeni kazi hakuna pesa rahisi msidanganywe, hao wanao bet na kupata faida effort na nidhamu wanazoweka hapo ni kama mfanyakazi aliyeajiriwa anavyoweka effort na nidhamu kwenye ajira la sivyo kibarua kinaota nyasi...