Kubeti: Huu Ndio mrejesho yangu niingie kwenye mchezo huu miezi 4 ilopita!!

Kubeti kungetoa faida kwa anayebeti basi makampuni ya kubeti yangefugwa kwa kupata hasara.
Kwakuwa makampuni ya kubeti yanapata faida na yanazidi kuongezeka, hapo hesabu yake ni kuwa wanaobeti wanaliwa na kupata hasara.
 
Nilikuwa nabet sana Football miaka 2 iliyopita. Nilikuwa nakula na kuliwa hivyo Ngoma ilikuwa almost draw. Mwezi wa 3 mwaka huu kuna mdau aliweka bandiko humu la kujifunza kubet basketball akisema ni rahisi kushinda kuliko Football. Nikajifunza ndani ya masaa mawili nikawa nimeshajua jinsi ya kubet basketball. Nikajisajili Sportpesa nikaacha kubet Football. Ushuhuda wangu ni kwamba NAJUTA kupoteza muda kubet Football. Hakuna siku ambayo sijala Basketball. Juzi tu Jumamosi kwenye ligi ya Basketball Australia nimekula 2,464,640. Jana Jumapili kwenye ligi ya Under 18 World Cup nimekula jumla 745,500. Mikeka yangu timu nyingi ni 4, zaidi ya hapo ni timu 3 au 2 au 1 then naweka kuanzia 50,000 na kuendelea. Mkeka mmoja juzi Jumamosi niliweka timu 4 nikaweka 100,000,nikala 1,974,000. Leo hakuna mechi yoyote ya Basketball. Kwa hiyo kwa anayetaka kula betting namsihi abet Basketball. Kumbuka kwenye Basketball hakunaga Draw,ni lazima mtu afungwe,hivyo Research yako makini ya Head to Head ndio ushindi kwako
 
luhilaseko pole sana ndugu kwa kuchelewa kubet basketball..mpaka hivi sasa nimenunua gari discovery 3 mil 48 kwa kubet basketball tu..Nawaangalia tu wanaoponda betting,acheni kubet football karibuni basketball uku pesa nje nje
Aiseee!!, itabidi nianze darasa la kubet basketball
 
wameshanikaanga elf 50 yangu..nilimpa atletico,eti kisa psg alipigwa tano na arsenal..daah,bora ningempa mallaya wangu tu ili nexy game anipe viuno feni bila mushkeli
 
Hakuna cha basketball wala nini gambling ni gambling tu from march hadi may nimepigwa 2,750,000/- na nimekua nabet basketball tu toka hapo sija bet tena najitahidi nisirudi tena kwenye huo uraibu
 
Betting is more than everything in ma lyf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…