Kubeti: Huu Ndio mrejesho yangu niingie kwenye mchezo huu miezi 4 ilopita!!

Kubeti: Huu Ndio mrejesho yangu niingie kwenye mchezo huu miezi 4 ilopita!!

Unaweka over 80.5, timu inaishia point 80, ume loss. Bado dakika 6 unahitaji timu ifunge points 5 tu lakini inashindikana, ume loss. Round ya 1,2,3 timu imefunga points 24,27, 22 lakini unakuta round ya 4 imefunga point 11 tu na over yako ya 85.5 ume loss. Ukicheza under ndio hatari zaidi.

Basketball betting stress stress stress na hatari kwa afya

Unaweka over 80.5, timu inaishia point 80, ume loss. Bado dakika 6 unahitaji timu ifunge points 5 tu lakini inashindikana, ume loss. Round ya 1,2,3 timu imefunga points 24,27, 22 lakini unakuta round ya 4 imefunga point 11 tu na over yako ya 85.5 ume loss. Ukicheza under ndio hatari zaidi.

Basketball betting stress stress stress na hatari kwa afya yako.
Umeanza lini kubet basketball?
 
Kweli inawezekana uchawi upo kabisa nimeshaloose mechi kama mbili hivi kwa tofauti ya 0.5 tu yaana umeweka over 150.5 inatoa 150. Unaweka mechi hata mbili tu lakini moja lazima ikatae.
Unacheza ligi zipi ktk basketball.? Tunaposema basketball ni rahisi haimaanishi kila timu inashinda maana kuna wazungu wengine ni vilaza hawafungani..
Nakushauri bet hizi ligi na hizi timu Brooklyn net,Los Angeles Laker, Houston rocket,cska Moscow,Norway, Barcelona,Madrid,Bayern Munich, Spain,german,poland na Lithuania na Hungary
 
Back
Top Bottom