Kubeti na 1xbet

Kubeti na 1xbet

1xbet, unafuatilia mechi live bila chenga.. "Kweli wasungu hawakosei"
Hahahahaaaaaa
 
Mambo vipi wakuu wangu....
Ni hivi, leo nianza rasmi kubeti kupitia hii App ya 1Xbet, nimeweka mikeka mitano( mmojamoja) ambapo mechi zitapigwa mda tofautitofauti..
Sasa wakuu naomba ufahamu kidogo juu ya hili.
*kama nimeshinda mkeka wa kwanza kucheza(unaanza mapema), nitatumiwa pesa yangu papohapo baada ya mechi husika kumalizika Au mpaka ziishe mechi zote ndo nipate hela yangu kwa mechi nilizoshinda..?

Mkuu promo code kwenye 1xbet ndio nini nashindwa kujiunga kisa promo code
 
Mkuu promo code kwenye 1xbet ndio nini nashindwa kujiunga kisa promo code
Mkuu jiunge tu kwa kupitia Email..
Haraka tu unatengeneza account na unaanza kumpiga hela Mjomba Kanji
 
I withdraw money through an e-wallet, there were never any problems. the mobile application is convenient, but the site is too loaded, I do not put it through it. I advise the guys to work on it
 
Back
Top Bottom