Kubeti ni faida au hasara?

Kubeti ni faida au hasara?

Kumbe.. kamari ndo ku bet....?? Ile wana kuwa na karata ukiweka hapa umeliwa... ukiweka kule umekulaa... huu mchezo hatar sanaa...
KAMARI ni mjumuiko wa MICHEZO YOTE YA KITAPELI AU WIZI, kwa jina zuri huitwa BAHATI NASIBU.

KUBET ni mojawapo ya aina nyingi za Kamari.
 
Kubeti bu sawa na anayekunywa pombe.. ni faida au hasara??

Kubet ni burudani bhana
 
Siku hizi vijana hawafanyi kazi kazi yao kubeti tu
 
Back
Top Bottom