Kubeti ni kama kudanga tu!

Kubeti ni kama kudanga tu!

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
17,668
Reaction score
13,263
Sijaona maendeleo yoyote tangu nianze kubeti miaka 3 iliyopita.

Wenzangu na mimi hali ikoje? Naweza kupata maujuzi zaidi ama niachane na kudanga huku?
Tena madanga yangu km ya wanawake wa Buza, leo nimepata buku siku mbili sipati kitu. Nikipata elfu kumi inapita wiki mbili cjapata chochote!!!!

Wahujumu uchumi wangu ni:
-Meridian bet
-Mkeka bet
-Premier Bet

MUHIMU: Kuanzisha kampuni ya kubeti inahitaji mtaji kiasi gani?
MWISHO: Nawataki Betting Njema, kizuri kula na mwenzako. Eid Mubarak!
 
Back
Top Bottom