Nyavinene
Senior Member
- Jul 28, 2020
- 164
- 174
Kubet ni kununua matumaini kwa pesa yako. Acha hiyo kazi mkuu utawehukaSijaona maendeleo yoyote tangu nianze kubeti miaka 3 iliyopita.
Wenzangu na mimi hali ikoje? Naweza kupata maujuzi zaidi ama niachane na kudanga huku?
Tena madanga yangu km ya wanawake wa Buza, leo nimepata buku siku mbili sipati kitu. Nikipata elfu kumi inapita wiki mbili cjapata chochote!!!!
Wahujumu uchumi wangu ni:
-Meridian bet
-Mkeka bet
-Premier Bet
MUHIMU: Kuanzisha kampuni ya kubeti inahitaji mtaji kiasi gani?
MWISHO: Nawataki Betting Njema, kizuri kula la mwenzako. Eid Mubarak