Kubeti ni kama kudanga tu!

Kubet ni kununua matumaini kwa pesa yako. Acha hiyo kazi mkuu utawehuka
 
Nawashukuruni wote kwa michango yenu...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃOmba yasikukute mkuu
 
Mkuu bet kwa ustarabu ooh nikwambie kitu we komaa tu na majackpot ya sportpesa, m-bet, betpawa utatoka mkuu trust me
Kwani kuna tofauti gani kati ya Yale niliyoyataja na haya kwako mkuu. Napenda kujua zaidi
 
Rubbing Salt into a wound....
Wewe jamaa wewe mungu anakuona!
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
May be ana point... ... Ni swala la kufuatilia zaidi
 
Kwahiyo unataka uanzishe betting company uwadange wadangaji
Yah.... Ndio maana nimeomba mwenye uzoefu anipe Mwanga inahitaji kiasi gani๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
hahaha! jana kuamkia leo nimepiga 250,000 kwa buku kumi,naachaje kwa mfano
Vipi unapigaga hizo mara ngapi kwa wiki mkuu hiyo ndo shida yangu. Unaweza ukakaa hata miezi 2 hujapiga hata laki..... ๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Hiyo ndo raha ya betting sina kazi yoyote ya kuajiriwa ata nikipata ya kuajiriwa bado ntabet tu labda wafunge kampuni zote tuingie Karne nyingine
Hahahaaa........ Ije mvua lije jua umekula yamini๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ