Kubeua harufu mbaya

Tuwemacho

Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
6
Reaction score
2
Wana JF kama ushawahi kuhisi seat yako ya moto kaa na mtu amevimbewa na mbaya zaidi anabeua harufu mbaya kama vile tumboni kumetokea muozo wa siku nne utakoma kuwepo pale na ukitaka kujua haivumiliki kajaribu haya leo
Kula mayai, chukua na karanga mbichi halafu shushia na mihogo mibichi hayo yote kula yakutosha ukiikosa ujue mashine yako imetengenezwa kwa miti haipatag kutu JE? HI INAITWAJE KWA KISWAHILI Duh kiswahili kindeemaa! (kigumu) natanguliza shukrani
 
Hili ni swali? story? Fundisho au?
Anyway hakuna radha nzuri duniani kama radha ya dagaa wakavu na karanga mbichi ukiwatafuna kwa pamoja
 
Haa haa! Utakua mdogo wake Trump, moyo wa plastic kwa hiyo utafune dagaa na karanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…