Pole sana hilo linaweza kuwa ni yale mauvimbe tumboni yako mengi huwa yanapasuka na mtu anapata bleed nying ushauri wangu nenda hospital kawaone madaktari bingwa wa kina mama watausaidia kama uko Dar nenda kwa Prof. Mgaya (Baba) pale Mbuyuni Maria Clinic