Kubleed kupitiliza

Kubleed kupitiliza

kundifrancis

New Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
2
Reaction score
0
jamani naomba msaada ninatatizo la kupitiliza kwenye kubleed na damu yatoka nyingi sana tatizo ni nini
 
Pole sana hilo linaweza kuwa ni yale mauvimbe tumboni yako mengi huwa yanapasuka na mtu anapata bleed nying ushauri wangu nenda hospital kawaone madaktari bingwa wa kina mama watausaidia kama uko Dar nenda kwa Prof. Mgaya (Baba) pale Mbuyuni Maria Clinic
 
Nilikuwa nashangaa kidogo hilo suali lako na jina la hapo juu. Nilidhani Francis ni jina la kiume ndiyo nikawa najiuliza imekuwakuwaje?

Samahani lakini.
 
Back
Top Bottom