SoC04 Kuboreshwa mfumo wa luku za umeme (mfumo kiganjani)

SoC04 Kuboreshwa mfumo wa luku za umeme (mfumo kiganjani)

Tanzania Tuitakayo competition threads

mwanga Charles

New Member
Joined
Nov 13, 2023
Posts
4
Reaction score
4
CHANGAMOTO.
LUKU kuisha kwa na umeme kukatika pasipo watu kuwa na taarifa

SULUHISHO
kuunda mfumo wa KIELECTRONIC utakao gundua LUKU kuisha na kutuma sms kwa mteja mfano kiasi Cha LUKU kilicho Baki ni 5% kumpa angalizo pasipo kuangalia umeme mwenyewe

Kuunda mfumo wa kutuma control number kwa mteja baada ya LUKU yake kuisha

Kutengeneza USSD code mteja anaweza kuangalia kiwango Cha umeme kilichopo nakuomba control number popote alipo

HITIMISHO
Kufanya hivyo kutalipeleka taifa mbele kimaendeleo na kuwa na taifa la kidigitali zaidi
Uchumi imara kwa maendeleo endelevu
 
Upvote 6
Wazo hili ni bunifu na litatatua changamoto kama vile Umeme kukatika gafla,wakati using tarajiwa na kuzua taaruki.
-Control number itasaidia mteja kulipa umeme haraka na popote alipo.
- Hii itapunguza usumbufu.
Mawazo kama haya yachukuliwe ili tuboreshe huduma za TANESCO kwa wananchi.
 
CHANGAMOTO.
LUKU kuisha kwa na umeme kukatika pasipo watu kuwa na taarifa

SULUHISHO
kuunda mfumo wa KIELECTRONIC utakao gundua LUKU kuisha na kutuma sms kwa mteja mfano kiasi Cha LUKU kilicho Baki ni 5% kumpa angalizo pasipo kuangalia umeme mwenyewe.
Nzur hii
 
Back
Top Bottom