Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Namzungumzi Tanzania mkuuKaangalie mechi ya boca junior
Red card 9
Mechi iliisha dakika 105
DpwSi Mara ya kwanza kwa waamuzi nchini Tanzania kulalamikiwa kwa maamuzi mabovu Tena ya wazi kabisa
Achana na mechi ya Jana ambayo golikipa alifanya ya kuyafanya Tena refa alikuwa jirani kabisa lakn alimeza filimbi
Ligi ndyo kwanza inaanza wiki ijayo TFF liangalieni hili jamani
Uzi huu tuwataje waamuz ambao wanaboronga tuanze ngao ya jamii Hadi ligi kuu 2023/2024
N jukumu letu sisi wapenda soka lisilo na ukakasiMmegeuka wanaharakati
Red card tisa na mpira ukaendelea!Unajua sheria inaruhusu wachezaji wangapi uwanjani yaani minimum!Kaangalie mechi ya boca junior
Red card 9
Mechi iliisha dakika 105
MfafanulieRed card tisa na mpira ukaendelea!Unajua sheria inaruhusu wachezaji wangapi uwanjani yaani minimum!
Red card tisa na mpira ukaendelea!Unajua sheria inaruhusu wachezaji wangapi uwanjani yaani minimum!
Namzungumzi Tanzania mkuu
Kama makosa yalifanyikahata zingekuwa 22 haina shida mpira n mchezo wa sheria mkuu
Tayari mkuu,nimeeditMfafanulie
Hapo sawa,nilijua unazungumzia red card kwa wachezaji walioko uwanjani!Benchi la ufundi red card 4