Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Si Mara ya kwanza kwa waamuzi nchini Tanzania kulalamikiwa kwa maamuzi mabovu Tena ya wazi kabisa
Achana na mechi ya Jana ambayo golikipa alifanya ya kuyafanya Tena refa alikuwa jirani kabisa lakini alimeza filimbi
Ligi ndyo kwanza inaanza wiki ijayo TFF liangalieni hili jamani
Uzi huu tuwataje waamuzi ambao wanaboronga tuanze ngao ya jamii Hadi ligi kuu 2023/2024