% kubwa ya vijana chini ya 25 yrs ni waongo

% kubwa ya vijana chini ya 25 yrs ni waongo

Ngongoseke

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
3,202
Reaction score
1,462
Habari zenu wadau wa jf

Kama heading ilivyo kiuchunguzi changu kisicho rasmi kinaonyesha kama hivyo,vijana wengi walio chini ya umri wa 25 yrs wanatabia za kupenda kusema uongo sana japo sio wote,
Hapa ni kwa wakike na kiume, wanapenda sana kujisifia kwa watu,
Mfano hebu uwe safarini au sehem yoyote mmekutana na kijana wa umri huo basi mkianza kubadilishana mawazo hapo ndio utakoma kama humjui,utadanganywa kama maiti,

Najua jf ni zaidi ya chuo imetufundisha mambo mengi sana sie ambao elimu yetu yakuunga unga,najua kuna wataalam madokta wanasaikoloji,naomba kwanza mniambie kama mimi niko sahihi kwa mawazo yangu juu ya vijana umri huu,
Halafu kama ndio je ni kitu gani kinapelekea kuwa hivi?

Ahsanteni
 
kila mwanadamu ana sehemu katika kusema uongo! hata wewe huwa unasema uongo! NB: japo sipo kwenye age hiyo uliyoitaja!
 
Back
Top Bottom