Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Ni ngumu mno kumpata mwenza wa maisha, ukiamua tu kuwa na mtu kuna kitu kinaibuka unajiuliza hivi huu ndio mwanzo hata wiki au mwezi wa kufahamiana bado, duh tayari nimepata picha huko mbeleni itakuwaje. Mwenye ubavu aoe au aolewe na avumilie yatakayo mtokea ila someni dalili za mnvua kama mawingu tayari unajua nini cha kufanya.
Anayetaka kuoa au kuolewa ajiandae kisaikolojia kuwa litakalo tokea atakuwa tayari kukabiliana nalo, ndoa zetu sisi wa Lutheri (Lutheran) hazivunjwi hazina talaka lazima ukomae hadi mmoja atakapo fariki ndio utaruhusiwa kuoa tena, kwa hiyo hapa kuna kazi sana, pamoja na katabia kakupenda kuchagua chagua sawa ila hapa lazima mkubaliane, hata hivyo kina dada wengi wametendwa na wao wanaogopa lazima watupime kama sisi ndio wenyewe au tuna uwezo wa kuwahudumia kikamilifu na wasiposoma wanaishia zao. test pande zote lol hatari.
Mwenyezi Mungu anisaidie nisiwe mzinifu kamwe.