Kuchagua mke wa kuoa sio rahisi, nitabaki single sioi tena

Mkuu utaweka vigezo vyako atleast utampata mwenye vigezo, kuna mabinti wana wazuri na wastaarabu ila wana IQ ndogo sana.
Hapana kuweka vigezo siwezi mana mtu (msichana na mvulana) wanaweza wakasema nina vigezo vyote ila akaficha kucha ukiishi naye tu basi unagundua alikuwa muongo. ukikaa naye kwa kipindi cha urafiki wa kawaida na uchumba vigezo utavitambua kwa haraka sana.
 
Oana na sabuni na mikono yako kama unaogopa changamoto za ndoa. Ukweli hakuna mteremko kwenye ndoa, kuna milima na mbonde lazima ukubaliane tu.
 
Ni ngumu mno kumpata mwenza wa maisha, ukiamua tu kuwa na mtu kuna kitu kinaibuka unajiuliza hivi huu ndio mwanzo hata wiki au mwezi wa kufahamiana bado, duh tayari nimepata picha huko mbeleni itakuwaje. Mwenye ubavu aoe au aolewe na avumilie yatakayo mtokea ila someni dalili za mnvua kama mawingu tayari unajua nini cha kufanya.

Anayetaka kuoa au kuolewa ajiandae kisaikolojia kuwa litakalo tokea atakuwa tayari kukabiliana nalo, ndoa zetu sisi wa Lutheri (Lutheran) hazivunjwi hazina talaka lazima ukomae hadi mmoja atakapo fariki ndio utaruhusiwa kuoa tena, kwa hiyo hapa kuna kazi sana, pamoja na katabia kakupenda kuchagua chagua sawa ila hapa lazima mkubaliane, hata hivyo kina dada wengi wametendwa na wao wanaogopa lazima watupime kama sisi ndio wenyewe au tuna uwezo wa kuwahudumia kikamilifu na wasiposoma wanaishia zao. test pande zote lol hatari.
Mwenyezi Mungu anisaidie nisiwe mzinifu kamwe.
Kama hutaoa na ni mzima sexually, uzinifu huna jinsi ya kuukwepa. Ila for sure, kuoa/kuolewa ni kurisk. Wengi waliomo katika ndoa wanajutia uamuzi wao na wanatamani kalenda ingerudi nyuma wa-undo uamuzi wa kuoa/kuolewa - me inclusive! Kama hauko tayari ku-take hiyo risk ya ama kupata au kupatikana, naunga mkono wazo lako la kubaki single. Ila yote kwa yote kupata watoto ni muhimu. Na kwa sisi tunaojutia uamuzi wetu, tumebaki na consolation 1 tu -WATOTO!
 
Sasa unataka mwanamke mzuri na akili awe nazo jamani Mungu hawezi kupa yote
 
Kama hutaoa na ni mzima sexually, uzinifu huna jinsi ya kuukwepa. Ila for sure, kuoa/kuolewa ni kurisk. Wengi waliomo katika ndoa wanajutia uamuzi wao na wanatamani kalenda ingerudi nyuma wa-undo uamuzi wa kuoa/kuolewa - me inclusive! Kama hauko tayari ku-take hiyo risk ya ama kupata au kupatikana, naunga mkono wazo lako la kubaki single. Ila yote kwa yote kupata watoto ni muhimu. Na kwa sisi tunaojutia uamuzi wetu, tumebaki na consolation 1 tu -WATOTO!
Haaaaaaaa aloo mkuu me kaka yangu aliishia njiani wakati anaenda kulipa mali
 
Kaka yako mjanja na naamini hana majuto. Sie tuliingia kichwakichwa mkuu.....acha kabisa
 
Nilikua naupita tu huu uzi sikujua kama wako,
Sio lazima mtu aoe au aolewe,wengine tushajizoelea kuishi wenyewe tu hatupendi kupangiwa sana pia tushavurugwa sana tumebaki kufanya for funny tu ili tusiumize moyo
Najua we ni mwanaume ni mzuri tu,kwa kasi yako hiyo wanawake unaowataka wapo tu ,,
Mola akutangulie na akufanyie wepesi uoe haraka na uwe mwenye furaha
 
Ni ngumu mno kumpata mwenza wa maisha, ukiamua tu kuwa na mtu kuna kitu kinaibuka unajiuliza hivi huu ndio mwanzo hata wiki au mwezi wa kufahamiana bado, duh tayari nimepata picha huko mbeleni itakuwaje. Mwenye ubavu aoe au aolewe na avumilie yatakayo mtokea ila someni dalili za mnvua kama mawingu tayari unajua nini cha kufanya.

Anayetaka kuoa au kuolewa ajiandae kisaikolojia kuwa litakalo tokea atakuwa tayari kukabiliana nalo, ndoa zetu sisi wa Lutheri (Lutheran) hazivunjwi hazina talaka lazima ukomae hadi mmoja atakapo fariki ndio utaruhusiwa kuoa tena, kwa hiyo hapa kuna kazi sana, pamoja na katabia kakupenda kuchagua chagua sawa ila hapa lazima mkubaliane, hata hivyo kina dada wengi wametendwa na wao wanaogopa lazima watupime kama sisi ndio wenyewe au tuna uwezo wa kuwahudumia kikamilifu na wasiposoma wanaishia zao. test pande zote lol hatari.
Mwenyezi Mungu anisaidie nisiwe mzinifu kamwe.
Warutheri wanavunja sana tu ndoa,let say umemfumania mwenzi wako ndoa haifiki mwisho?,kuna mwenzetu mmoja kkkt kimara kapewa barua aende mahakamani akaprocess talaka
 
Halaf ndoa za kuoana mpaka milele ili iweje labda kama nyie malaika,,ikitokea mtu anakuudhi uvumilie tu eti kisa ndoa hapana kabisa ,sema hutokea watu mnavumiliana mnaishi mpaka mnazeeka hiyo ni bahati sana
 
Nilikua naupita tu huu uzi sikujua kama wako,
Sio lazima mtu aoe au aolewe,wengine tushajizoelea kuishi wenyewe tu hatupendi kupangiwa sana pia tushavurugwa sana tumebaki kufanya for funny tu ili tusiumize moyo
Najua we ni mwanaume ni mzuri tu,kwa kasi yako hiyo wanawake unaowataka wapo tu ,,
Mola akutangulie na akufanyie wepesi uoe haraka na uwe mwenye furaha
Kuna mwoaji humu?
 
Kaka yako mjanja na naamini hana majuto. Sie tuliingia kichwakichwa mkuu.....acha kabisa
Nachomshukuru alinipa asilimia kwenye ile mali yake nkakesha baa cku 3
 
Anza uchumba wa muda mrefu walau miaka mitatu ndio uoe sio unakutana na MTU miezi miwili unatangaza ndoa, utajuta.
 
Ndoa ili iwe tamu mwanaume anatakiwa ampende mwanamke kwa akili zake zote na nguvu zake zote maana hawa viumbe wanakera sana
 
Hiyo mathayo 19:9 mkuu naona ww hujaielewa vizuri haisemi hakuna kuachana hapo...kuachana kupo tena haswa kwenye sexual immoralities kama kuchepuka
 
Back
Top Bottom