Kuchagua mke wa kuoa sio rahisi, nitabaki single sioi tena

Kazi
So mzee utaoa vipande vya soap tu
Kazi hiyo huwa sifanyi na sijawahi hata siku moja, nikinywa maji ya SUBIRA vile vimbegu vidogo vya mti wa nina kaa mwaka mzima nimepoa kama aliyepooza hata ushtue hakuna kitu.
 
Kuoa hutaki na kuzini hutaki?

Na kupiga puchu biblia inasema ni dhambi.
Ndio, na hivi duniani tunakoishi hakunaga malaika anayeweza kuolewa ndo basi tena
 
usiseme hivyo ukiwa mwanaume uliyekamilika kuna muda akili na mwili vinahitaji uwe na mtu wa kuishi nae,yani kunakuwa na mazingira ww mwenyewe unajiona hujakamilika
 
2,3,4 safi sana, nashukuru kwa kuyaona haya na ndio yanayo katisha tamaa sana tena kwa kiasi kikubwa. mtu anakubali kuolewa au kuoa lakini anayo mengi anayoyafikiria ayapate. mfano mmoja alinambia akija tu kwakuwa mimi nina usafiri na yeye nimuandalie wakwake nikaona hii sio bahati yangu huenda ni ya mwingine.
 
Si muwe mnawekeana sumu.
tuwekeane sumu halafu tukatishane maisha njiani, maana yake mwanamke au mwanaume akiona una hela tayari akulishe sumu ufe ili abaki na mali sio, ahaha hii yakwako kali sana
 
Kazi ya kutafuta mke nimemuachia mama yabgu
unataka umchoshe mama wewe acha kabisa, mwanamke akifanya yake ya kukukwaza utamlaumu mama na kumwambia alikosea kukuchagulia sio, usimbebeshe mama mzigo.
 
Kama wachumba wanakusumbua, ondoka na hii falsafa!
"kama maziwa unakunywa kwa kununua na pesa, ngombe wa maziwa kufunga wa nini!"
Tafuta pesa maziwa utakunywa daily
 
Mkuu umetumia AKILI KUBWA, ungezaliwa kabla ya mkulu Tz tungekuwa na viwanda vingi.
 
usiseme hivyo ukiwa mwanaume uliyekamilika kuna muda akili na mwili vinahitaji uwe na mtu wa kuishi nae,yani kunakuwa na mazingira ww mwenyewe unajiona hujakamilika
Mazingira yangu yako hivi, siku za kazi asubuhi naamka nafanya usafi, napika chai naenda kwenye kibarua, mchana nakula huko, jioni napitia sokoni kama sina kitu ndani napika nakula, nafanya mengine naoga nalala. siku zisizo za kazi naamka asubuhi nafua, nafanya kazi zingine basi maisha yanaenda kwa hiyo siwezi tegemea msichana wa kazi au mke kuwa atanisaidia NO nimezoea.
 
Kazi

Kazi hiyo huwa sifanyi na sijawahi hata siku moja, nikinywa maji ya SUBIRA vile vimbegu vidogo vya mti wa nina kaa mwaka mzima nimepoa kama aliyepooza hata ushtue hakuna kitu.
Utakua na element za Tito [emoji23]
 
Ifikie kipindi mtu akitaka kuoa anatangaza mabinti wanatukuja anawafanyia interview
 
Ifikie kipindi mtu akitaka kuoa anatangaza mabinti wanatukuja anawafanyia interview
Hata ukifanya interview watajibu ya uongo tu mwisho wa siku unashangaa unaanza tena kumlaumu au mnaanza kulaumiana.
 
Ndo tatizo la kutaka kupata mke ndani ya mwezi mmoja ndo matokeo yake unakuja kujaza server za JF tu....tulia dogo,muda ukifika utaoa tu,kwasasa endelea tu kupiga puli...weka akiba ya maneno.
 
Ndo tatizo la kutaka kupata mke ndani ya mwezi mmoja ndo matokeo yake unakuja kujaza server za JF tu....tulia dogo,muda ukifika utaoa tu,kwasasa endelea tu kupiga puli...weka akiba ya maneno.
Huwezi mtafuta mke au mume ndani ya mwezi mmoja hata kidogo.
 
Hata ukifanya interview watajibu ya uongo tu mwisho wa siku unashangaa unaanza tena kumlaumu au mnaanza kulaumiana.
Mkuu utaweka vigezo vyako atleast utampata mwenye vigezo, kuna mabinti wana wazuri na wastaarabu ila wana IQ ndogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…