Kuchaguliwa Diploma ya Elimu ya Msingi

Akademician

Senior Member
Joined
May 20, 2015
Posts
143
Reaction score
36
Kuna ndugu yetu ni mwalimu wa shule ya msingi wa ngazi ya cheti,
Mwaka huu kaapply Diploma in Primary Education.

Vipi matokeo ya kuchaguliwa yameshatoka wakuu?

Tusaidiane.
 
yapo njiani ndugu..
 
Kuna ndugu yetu ni mwalimu wa shule ya msingi wa ngazi ya cheti,
Mwaka huu kaapply Diploma in Primary Education.

Vipi matokeo ya kuchaguliwa yameshatoka wakuu?

Tusaidiane.

Nenda web ya nacte. Yana zaidi ya wiki 2 toka yatoke.
 
hahahahahaaaaaaa sina mbavu yeewrewwwwwwwww.watu mna masihara balaaaaa
 
Ila mimi sijauliza kwa masihara mkuu,
Bali nina lengo kupata taarifa ndugu.
Hivyo kama una taarifa kuhusu hili tujuzane.
 
Angalia vizuri. Au labda wameliondoa temporary watalirudisha.ila uhakika lipo.
 
Kuna ndugu yetu ni mwalimu wa shule ya msingi wa ngazi ya cheti,
Mwaka huu kaapply Diploma in Primary Education.

Vipi matokeo ya kuchaguliwa yameshatoka wakuu?

Tusaidiane.

Deadline ilikuwa jmosi,we tulia usiwe na shaka.kwa taarifa za hapa na pale ingia kwenye profile yako.
 
Acha kumvuruga mwenzako kauliza kweli wewe unaleta ukilaza wako hapa.!

Au labda anamaanisha ile ya wale Form 4 waliochaguliwa program maalum Diploma ya walimu wa sayansi UDOM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…