Kuchaguliwa Diploma ya Elimu ya Msingi

Kuchaguliwa Diploma ya Elimu ya Msingi

Akademician

Senior Member
Joined
May 20, 2015
Posts
143
Reaction score
36
Kuna ndugu yetu ni mwalimu wa shule ya msingi wa ngazi ya cheti,
Mwaka huu kaapply Diploma in Primary Education.

Vipi matokeo ya kuchaguliwa yameshatoka wakuu?

Tusaidiane.
 
Nenda web ya nacte. Yana zaidi ya wiki 2 toka yatoke.
 
hahahahahaaaaaaa sina mbavu yeewrewwwwwwwww.watu mna masihara balaaaaa
 
Ila mimi sijauliza kwa masihara mkuu,
Bali nina lengo kupata taarifa ndugu.
Hivyo kama una taarifa kuhusu hili tujuzane.
 
Kuna ndugu yetu ni mwalimu wa shule ya msingi wa ngazi ya cheti,
Mwaka huu kaapply Diploma in Primary Education.

Vipi matokeo ya kuchaguliwa yameshatoka wakuu?

Tusaidiane.

Deadline ilikuwa jmosi,we tulia usiwe na shaka.kwa taarifa za hapa na pale ingia kwenye profile yako.
 
Back
Top Bottom