Ni kweli ila demokrasia ina mapungufu yake na hili ni moja wapo....
Wana haki ya kuchaguliwa kama mtu yeyote.....
Ni kweli ila demokrasia ina mapungufu yake na hili ni moja wapo....
Wana haki ya kuchaguliwa kama mtu yeyote.....
Wana JF, Tukiangalia mambo yanavyokwenda unaweza kuona kuwa kama katiba haitaweka utaratibu maalum wa kuchagua watoto wa vigogo kuwa Mawaziri pamoja na nyadhifa nyingine muhimu kitaifa tunaweza kujikuta katika muundo wa familia za Kifalme bila kutarajia.
Kwa mtazamo wangu nadhani ni vyema Katiba ikaelekeza wazi kuwa mtoto wa Raisi mstaafu hawezi kuchaguliwa kuwa waziri kutoka chama hicho hicho kimoja katika kipindi chini ya miaka ishirini tangu baba yake atoke madarakani. Kuzingatiwa kwa taratibu kama hiyo kutaondoa sana uwezekano wa Maraisi kupendelea familia zao wazi wazi.
Tutafakari zaidi
Kama hamuwataki shawishini wananchi wasiwachague ubunge.
Wasipochaguliwa ubunge, kuwa mawaziri ni vigumu.
Mkianza kupanga nani asiwe waziri utaingilia haki za kikatiba za Watanzania.
Unapomchagua mtu kuwa mbunge unasema huyu anafaa kuwa hata Waziri Mkuu au Spika na hivyo kuwa katika direct succession ya kukaimu urais.

Mkuu nadhani unaelewa fika jinsi ambavyo chaguzi za CCM huendeshwa katika kumpata mgombea wa Ubunge. Malalamiko yamesikika hadi kupitia Waziri Mkuu Mstaafu, achilia mbali tuliyoyasikia chaguzi za UVCCM nk. Halafu baada ya hapo kuna uwezekano na tumeona Raisi anateua wabunge maalum. Huo mwanya ni mkubwa sana pia. Kubaliana na mimi kuwa kuna majimbo ambayo CCM wakitaka mtu fulani awe mbunge wanamsimika kibabe.
Lakini kukiwepo utaratibu wa kikatiba ambao utaweka muda wa miaka angalau ishirini ili maraisi wawili wawe wamemaliza vipindi vyao itakuwa tumechuja ya kutosha.
Again.
Hizo ni sababu zaidi za kuelimisha wananchi wasiwachague watu wasio na sifa zaidi ya nasaba.
Na rais akimteua mtoto wa Mwinyi kuwa mbunge na waziri ndipo mtapoonyesha waziwazi ukweli wa hoja yenu.
By the way vipi kama hawa watoto ndio wenye elimu na exposure inayotakiwa/ inayofaa kuliko wengine?
Wananchi wawakatae kwa sababu ni watoto wa wakubwa tu?
Lakini kuteuliwa huko si kunafanyika kwa mgongo wa chama??? na chama ikifika wakati wa uchaguzi kinanadi sera zake na wananchi mkikubali sera mnakichagua???..Kama sera za chama zinatoa mwanya wa utawala wa kisultani kwa nini mkikubali kukipa kura???..Tatizo sio la mfumo tatizo ni la wananchi.....Hatujakataa ila kuna haja ya kuwepo utaratibu wa kuzuia upendeleo usiokuwa na manufaa kwa taifa. Ukisema wanahaki basi wanaweza kuchagua wake zao, watoto wao wakiwa madarakani? Haki ni ya kila mwananchi lakini vigezo stahiki na taratibu maalaum zisipofuatwa ili kuongoza uteuzi huo tutafika mahali pabaya. Tena hapa naona kama kuna makosa kidogo, nilimaanisha kuteuliwa siyo kuchaguliwa. Wakigombea ubunge wakachaguliwa hakuna tatizo sana na ninaweza kukuhakikishia ni CCM ndiko utaratibu huo umezoeleka kwa sababu ni chama cha ubabe.
Naona tunajadili vitu viwili tofauti...... Mkuu' mleta mada kaelezea vizuri kuhusu watoto wa viongozi wetu, hasa marais kuchaguliwa kuwa kwenye nafasi nyeti za nchi: na kama unataka kutambua hili' angalia mfumo wa uongozi ndani ya ccm. Watoto wa viongozi ndiyo wanaorithi nafasi nyeti ndani ya chama.
Mimi ninamuunga mkono mleta mada % zote.
Naona tunajadili vitu viwili tofauti...
Hawa watoto wa vigogo wanateuliwa kushika nafasi ndani ya chama au serikalini?? Kama ni ndani ya chama kwa nini mkikubali??? Je hawakunadi sera zao na ilani zao ambazo wananchi mlizikubali na kukipa fursa ya kuwatawaleni?? ..Je wamekiuka sera na ilani za chama chao??? kwa nini msikiondoe chama madarakani???
Again.
Hizo ni sababu zaidi za kuelimisha wananchi wasiwachague watu wasio na sifa zaidi ya nasaba.
Mbona Kawe Kipi Warioba kashindwa, albeit not without controversy.
Na rais akimteua mtoto wa Mwinyi kuwa mbunge na waziri ndipo mtapoonyesha waziwazi ukweli wa hoja yenu.
By the way vipi kama hawa watoto ndio wenye elimu na exposure inayotakiwa/ inayofaa kuliko wengine?
Wananchi wawakatae kwa sababu ni watoto wa wakubwa tu?
Naona tunajadili vitu viwili tofauti...
Hawa watoto wa vigogo wanateuliwa kushika nafasi ndani ya chama au serikalini?? Kama ni ndani ya chama kwa nini mkikubali??? Je hawakunadi sera zao na ilani zao ambazo wananchi mlizikubali na kukipa fursa ya kuwatawaleni?? ..Je wamekiuka sera na ilani za chama chao??? kwa nini msikiondoe chama madarakani???
Katiba ya nchi haiwezi kuongelea vitu vidogo namna hii...haya ni mambo ya kwenye sera na ilani...siku katiba ya nchi ikianza kuongelea mambo ya hovyo kama haya ujue hanuka tena taifa hapo...hebu tafuta nakala ya katiba uone mambo yanayozungumziwa humo ndani...kama huna ni PM nikutumie soft kopy....Kwa mawazo yako ina maana hatuhitaji basi Katiba ya nchi? Kwamba tutegemee kufuata sera za chama tawala peke yake?
Katiba iko pale kufuatwa na vyama vyote na viongozi wote na pia wananchi kwa ujumla. Ndiyo maana nikasema Raisi wa chama hicho hicho kimoja kumteua mtoto wa Raisi aliyetoka madarakani muda si mrefu inaashiria au kuachia mwanya wa kurudi katika utawala wa kifalme. Nisome vizuri tafadhali.
Kwani misingi ya katiba kumruhusu Rais kuteua watu kwa nafasi kama anavyoona yeye ni ipi??..Kwa kukusaidia ni kwamba Rais ili atawale lazima awe na timu ya watu anaowaamini na kwa mfumo wa sasa wa katiba hii ni kutoka ndani ya BUNGE(naongelea mawaziri)...nafasi alizopewa ni kwa maslahi ya taifa kabisa...umewahi kujiuliza vipi kama wabunge woote wangekuwa wa CHADEMA na RAIS ni wa CCM?? Kungekua na serikali hapo???... Mkuu' siyo vitu viwili tofauti ! Kwani waziri sina anatokea ndani ya chama tawala? Kwahiyo wakati tunajadili masuala haya lazima uwangalie kwa mapana na marefu chanzo cha mfumo huu mbovu. Kwa sasa kuna wabunge wengi wameteuliwa na rais kutoka kwenye chama chake tawala' moja kwa moja na wakati mwingine kiundugu au urafiki kufuatana na karibu na rais, na kupewa uwaziri. Je hili si tatizo?
Katiba ya nchi haiwezi kuongelea vitu vidogo namna hii...haya ni mambo ya kwenye sera na ilani...siku katiba ya nchi ikianza kuongelea mambo ya hovyo kama haya ujue hanuka tena taifa hapo...hebu tafuta nakala ya katiba uone mambo yanayozungumziwa humo ndani...kama huna ni PM nikutumie soft kopy....