J jjohn New Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2 Reaction score 0 Nov 1, 2010 #1 Tarime jamani hali ni mbaya sana. Chadema imeshinda lakini kuna mikakati mikubwa ya kuchakachua matokee na kumeibuka vurugu kubwa sana.
Tarime jamani hali ni mbaya sana. Chadema imeshinda lakini kuna mikakati mikubwa ya kuchakachua matokee na kumeibuka vurugu kubwa sana.
S Shiboga Member Joined Nov 29, 2007 Posts 9 Reaction score 0 Nov 1, 2010 #2 Matikeo si yanajulikana tayari?
Z Zion Train JF-Expert Member Joined Jun 5, 2008 Posts 501 Reaction score 78 Nov 1, 2010 #3 kuchakachua tarime ni sawa na kuchakachuwa pemba, wameshindwa kutawala sasa wanataka kuchonganisha watu
kuchakachua tarime ni sawa na kuchakachuwa pemba, wameshindwa kutawala sasa wanataka kuchonganisha watu
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Nov 1, 2010 #4 Ehe, leteni habari wadau wangu
doup JF-Expert Member Joined Feb 26, 2009 Posts 2,706 Reaction score 2,861 Nov 1, 2010 #5 ccm imeshinda huko tayari source ITV, wanachadema nasikia wamezibitiwa na police wa ccm. ccm wanalindwa washangilie
ccm imeshinda huko tayari source ITV, wanachadema nasikia wamezibitiwa na police wa ccm. ccm wanalindwa washangilie