Elections 2010 Kuchakachua

Elections 2010 Kuchakachua

jjohn

New Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2
Reaction score
0
Tarime jamani hali ni mbaya sana. Chadema imeshinda lakini kuna mikakati mikubwa ya kuchakachua matokee na kumeibuka vurugu kubwa sana.
 
kuchakachua tarime ni sawa na kuchakachuwa pemba, wameshindwa kutawala sasa wanataka kuchonganisha watu
 
ccm imeshinda huko tayari source ITV, wanachadema nasikia wamezibitiwa na police wa ccm.

ccm wanalindwa washangilie
 
Back
Top Bottom