Kuchanganya ma-file ya wanawake

Kuchanganya ma-file ya wanawake

Wakuu,
Jana usiku kuna namba ngeni ilinicheki. Sikupokea.

Leo asubuhi naitext 'Hello', ikafuata 'Hi City Owl, I miss you'
Akili ikanipeleka moja kwa moja kwa dem mmoja nilipita naye mwezi uliopita, kisha, pamoja na uzuri na utamu wake, nikampotezea baada ya kujua kaolewa.
Mimi hukwepa wake za watu kabisa.

Kujiskilizia mwili, nikaona kabisa nina upwiru, so yafaa niupunguze kidogo.

Basi, nikampanga dem tumeet Ile lodge tulikutana last time.

Wakuu, nikatangulia kubook room, Dk. 20 hivi anasema kafika. Kwenda kumpokea, aaaah...wakuu limetokea demu ambalo nilipiga chini 2022 huko baada ya kuwa chabunene (sivutiwi na mabonge) mtumbo wa beer unaning'inia..linajichekesha.

Wakuu, nilishtuka sana, nikajitahidi kubakia composed, excitement ikakata najiuliza nilitimue tu au la!

Nimejilaumu sana kwa kukosa umakini hata kujikuta room moja na Chabunene tena.

Swali likawa, napiga hiyo old pu**y au sipigi! 😀

Ulishawahi kuchanganya mafaili?
Pole sana,sisi wazee wa tinder na tagged hizi ajali za hivi ni kawaida tu na tumeishazoea.
 
Attachments

  • 20240911_141855.jpg
    20240911_141855.jpg
    242.4 KB · Views: 2
Noma bhana..
Wewe uligonganisha mamanzi au ulichanganya mafaili ya namba mkuu?
Sikuchanganya mafile mzee,wataalam wa dating sites kama tinder,badoo na tagged wanaelewa hii kitu.una chat na pisi tena ni pisi hasa ukiiona kwenye profile picture,unafanya bargaining na kinachobaki ni kukutana ili ukapige utelezi.sasa hapo kwenye kukutana hapo ndo unakutana na chabunene.Unaweza kukimbia😁😁🤣🤣🤣
 
Wakuu,
Jana usiku kuna namba ngeni ilinicheki. Sikupokea.

Leo asubuhi naitext 'Hello', ikafuata 'Hi City Owl, I miss you'
Akili ikanipeleka moja kwa moja kwa dem mmoja nilipita naye mwezi uliopita, kisha, pamoja na uzuri na utamu wake, nikampotezea baada ya kujua kaolewa.
Mimi hukwepa wake za watu kabisa.

Kujiskilizia mwili, nikaona kabisa nina upwiru, so yafaa niupunguze kidogo.

Basi, nikampanga dem tumeet Ile lodge tulikutana last time.

Wakuu, nikatangulia kubook room, Dk. 20 hivi anasema kafika. Kwenda kumpokea, aaaah...wakuu limetokea demu ambalo nilipiga chini 2022 huko baada ya kuwa chabunene (sivutiwi na mabonge) mtumbo wa beer unaning'inia..linajichekesha.

Wakuu, nilishtuka sana, nikajitahidi kubakia composed, excitement ikakata najiuliza nilitimue tu au la!

Nimejilaumu sana kwa kukosa umakini hata kujikuta room moja na Chabunene tena.

Swali likawa, napiga hiyo old pu**y au sipigi! 😀

Ulishawahi kuchanganya mafaili?
Tukutane 20/09

Nchi ikiwa na amani na mtawala sahihi hao machibunyenye watarudusha mwili na utawachakata vyena
 
Aaagh, Mimi haipiti siku 3 siwachanganyi....mbona kawaida sana hii hali
 
Kwa hiyo hapa unahitaji msaada wa mawazo gani haswa?
 
Kupunguza hiyo kero tafuta line mpya mkeo akikuuliza mwambie kwa akili ya simbanking itembeage kwenye waleti au itafutie pin zakutosha kwajili ya mbususu tu, hutajutia tukiamua unaizima mwezi ukimisi ushenzi unawasha unapiga hutakutana na madudu hayo
 
Back
Top Bottom