KUCHANGIA FIGO

KUCHANGIA FIGO

deNavigator

Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
49
Reaction score
63
Wadau kwa ujumla wenu nyote habari zenu ??
nilitamani kujua utaratibu wa kuchangia figo upoje...
(naomba mnijuze)

Una madhara kwa mchangiaji ?

Nahitaji kujua as nikijua au nikipata Elimu juu ya jambo hili naweza shawishika kuchangia.
 
Karibu tukuhudumie mkuu.

Kwani Moyo nao una kazi nao?
Natamani Niwajibu wote ila ngum.

But my concern is: ni kwakiasi gani hii kotu ni salama kwangu, na percentage of survival zipo vipi kwangu kama mchangiaji ?

Issue ya pesa sio kipaumbele sabab hii sio biashara, lakini compasation ya nilichopoteza ni costant as ntapoteza uwezo wa ku operate, hivyo lazima nipewe fidia ya kunirahisishia mwendo.
 
😂 Mara useme pesa sio kipaumbele mara useme compesation constant baki tu na li figo lako mwaisa, swali ushawahi kuwa mnywaji konki wa visungura? Nyagi? Gongo namba 1? Kama min -me ? Hao hatutaki figo zimeoza isije kua umeona unaelekea ukingoni unafunga mahesabu kabisa.
 
Wadau kwa ujumla wenu nyote habari zenu ??
nilitamani kujua utaratibu wa kuchangia figo upoje...
(naomba mnijuze)

Una madhara kwa mchangiaji ?

Nahitaji kujua as nikijua au nikipata Elimu juu ya jambo hili naweza shawishika kuchangia.
mbona zipo buchani kwa wingi.
 
Kuna taarifa nilisoma BBC. Kwamba sheria haziruhusu kuuza figo. Kwamba kama kuna mahitaji wa figo, basi atachangiwa na ndugu zake.
Sasa mchezo unaochezwa na madalali ni kumsajili muuzaji kwa familia ya mgonjwa.
Walifanya hivyo kwa muuzaji figo mmoja kutoka Myanmar. Akasafirishwa hadi India na alihojiwa na madaktari 4 kama kweli wanandugu na muhitaji na kama hajashurutishwa.
Mwisho shuhuda anasema alifaulu na alipewa pesa awamu mbili na jumla ni kama Tsh ml. 6.
 
Kwanini umefikiria kuchangia figo mkuu?
Unahisi mbele yako ni fupi? Kuna kinachoisibu afya yako?
 
Back
Top Bottom