Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 529
- 1,150
Kuna watu wameumbwa tofauti na wana mioyo ya huruma. Huyu dada anaitwa Niffer naona amefanya jambo la kiungwana tu na amesukumwa na nia nzuri.
Sema tu shida labda hakuweza kuijua sheria ya mambo ya kukuzanya michango.
Lakino nashangaa watu wamemjia juu na vifungu vya kisheria, mara sijui penal code imefanyaje, sijui sheria kifungu gani imecheua kushoto.... yaani ilimradi makasiriko.
Watanzania tunajidai mabingwa wa kujua sheria na nchi yenu inaibiwa kila uchwao mabilioni ya shilingi, dada wa watu kajitokeza kwa nia njema mnaanza kuleta ujuzi wenu. Hii inaonesha ni jisi gani watamzania wamejaa mioyo yenye uovu. PATHETIC