eeh gentleman,
embu elezea wadau kwa kina kifupi kidogo, hizo nchi nyingine wanafanyaje?
sheria ipi inanyima watu uhuru kwa mfano kwenye majanga?
ni muhimu sana kufahamu kwamba,
michango yote, misaada yote, hisani zote n.k inaratibiwa na kamatia ya maafa ya kitaifa.
kila mTanzania mwenye mapenzi mema, kwa kibali maalumu na utaratibu wa kamati ya maafa uliowekwa, yuko huru kuchangia na ana haki ya kuchangisha chochote kitu kutoka popote duniani kwa kibali maalumu cha kamati ya maafa.
kinyume na hapo ni hujuma na utapeli.
epuka kutapeliwa zingatia taratibu za kuchangia