Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 529
- 1,150
Jambo muhimu zaidi ni kwamba,Kuna watu wameumbwa tofauti na wana mioyo ya huruma. Huyu dada anaitwa Niffer naona amefanya jambo la kiungwana tu na amesukumwa na nia nzuri...
Ametumia umaarufu wake kuchangisha ili kuwapa support wahangaJambo muhimu zaidi ni kwamba,
wema wako usizidi uwezo, na wala nia na dhamira yako njema isivuke mipaka ya kistaarabu katika jamii au mamlaka husika.
zingatia na kufuata taratibu, ili upate uhalali, na zikuondolee mashaka na kutokuaminika katika jamii
inafct,Ametumia umaarufu wake kuchangisha ili kuwapa support wahanga
Japo kimsingi kuvunja sheria
Natumai serikali itapima Nia yake na itamsamehe tu ni Mtanganyika mwenzetu
Yote ni sawainafct,
haya yanatokea kama somo na darasa kwa jamii na wananchi kwa ujumla kwajili ya siku nyingine.
iko kamati maalumu ya maafa kitaifa, chini ya waziri mkuu na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar.
hapo ndiko michango, misaada, majitoleo, hisani na mambo yote kuhusu kuwakirimu na kuwategemeza wahanga wa majanga mbalimbali ya kitaifa huratibiwa. kinyume na hapo ni hujuma au utapeli.
bilashaka nia yake ni nzuri na hakuchangisha kwa kificho au gizani.
hii tutasote as soon as possible
Hizi lawama wanazoipa serikali sioni kama zinastahili kwenye hili..Jambo muhimu zaidi ni kwamba,
wema wako usizidi uwezo, na wala nia na dhamira yako njema isivuke mipaka ya kistaarabu katika jamii au mamlaka husika.
zingatia na kufuata taratibu, ili upate uhalali, na zikuondolee mashaka na kutokuaminika katika jamii
Hizi lawama wanazoipa serikali sioni kama zinastahili kwenye hili..
Niffer kakosea hilo liko wazi kabisa, huwezi kuanza kuchangisha pesa toka kwa Watz kwenye janga kama lile ilhali wewe huna cheo chochote kiserikali, wala chama cha wafanyabiashara au hata wamiliki wa majengo na vyeo vya namna hiyo.
Wewe unachangisha kama nani?? Hayo mamlaka ya kuchangisha umepewa na nani??
Serikali imevalia njuga hiyo ishu from the start, ingefaa awasiliane na viongozi wake wa chama chao cha biashara..
Sijui nia yake hasa ila lile ni kosa labda angekua verified na mamlaka yoyote, na kibongo bongo pale ni kua anakwapua credit za PM, yale maokoto inabidi yaingie kwenye vitengo vilivyo chini ya PM.
Bila shaka ikibainika nia yake ni njema basi atarudisha kibunda serikalin na yeye kupewa onyo, japo kutojua sheria hakukupi haki ya kuvunja sheria, ni UTU tu.
Yule mzalendo w kitanzania mbona kimya atuoni akileta uzi imekuwaje kaka uwamini machoyako jikaze baba uje tunakutegemea mjomba heee nguvu una kabisa 🤪🤪
Wewe ni mkristo, sawa unaweza kuwa mdhambi, huendi kanisani lakini kama ukibaki kuamini wewe ni mkristo lazima nafsini utakuwa unajilaumu.
Ndo maisha ya wakristo wote.
Hofu zetu za ndani kabisa zinajidhihirisha kwenye fahamu ndogo(subconscious mind) zetu kama ndoto.
Unachokifikiri sana ndo unachokiota.
Nimalize kwa kusema kwamba Mungu hayupo.
Serikali yetu sikivu itamsamehe
Mambo mengine hadi mjuzi wa sheria
Tumpe pole
PM Majaliwa atamsamehe tu
Jambo muhimu zaidi ni kwamba,
wema wako usizidi uwezo, na wala nia na dhamira yako njema isivuke mipaka ya kistaarabu katika jamii au mamlaka husika.
zingatia na kufuata taratibu, ili upate uhalali, na zikuondolee mashaka na kutokuaminika katika jamii
Ametumia umaarufu wake kuchangisha ili kuwapa support wahanga
Japo kimsingi kuvunja sheria
Natumai serikali itapima Nia yake na itamsamehe tu ni Mtanganyika mwenzetu
inafct,
haya yanatokea kama somo na darasa kwa jamii na wananchi kwa ujumla kwajili ya siku nyingine.
iko kamati maalumu ya maafa kitaifa, chini ya waziri mkuu na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar.
hapo ndiko michango, misaada, majitoleo, hisani na mambo yote kuhusu kuwakirimu na kuwategemeza wahanga wa majanga mbalimbali ya kitaifa huratibiwa. kinyume na hapo ni hujuma au utapeli.
bilashaka nia yake ni nzuri na hakuchangisha kwa kificho au gizani.
hii tutasote as soon as possible
TATIZO LETU WATANZANIA NI KWAMBA TUMEJIFUNGA KWENYE SHERIA BADO PASIPO KUTAMBUA HIZO SHERIA NYINGI NI MBOVU NA ZINANYIMA WATU UHURU.Hizi lawama wanazoipa serikali sioni kama zinastahili kwenye hili..
Niffer kakosea hilo liko wazi kabisa, huwezi kuanza kuchangisha pesa toka kwa Watz kwenye janga kama lile ilhali wewe huna cheo chochote kiserikali, wala chama cha wafanyabiashara au hata wamiliki wa majengo na vyeo vya namna hiyo.
Wewe unachangisha kama nani?? Hayo mamlaka ya kuchangisha umepewa na nani??
Serikali imevalia njuga hiyo ishu from the start, ingefaa awasiliane na viongozi wake wa chama chao cha biashara..
Sijui nia yake hasa ila lile ni kosa labda angekua verified na mamlaka yoyote, na kibongo bongo pale ni kua anakwapua credit za PM, yale maokoto inabidi yaingie kwenye vitengo vilivyo chini ya PM.
Bila shaka ikibainika nia yake ni njema basi atarudisha kibunda serikalin na yeye kupewa onyo, japo kutojua sheria hakukupi haki ya kuvunja sheria, ni UTU tu.
Kuto kujua sheria sio kigezo cha kutokuwa na hatiaSerikali yetu sikivu itamsamehe
Mambo mengine hadi mjuzi wa sheria
Tumpe pole
PM Majaliwa atamsamehe tu
Umeandika point mkuuHizi lawama wanazoipa serikali sioni kama zinastahili kwenye hili..
Niffer kakosea hilo liko wazi kabisa, huwezi kuanza kuchangisha pesa toka kwa Watz kwenye janga kama lile ilhali wewe huna cheo chochote kiserikali, wala chama cha wafanyabiashara au hata wamiliki wa majengo na vyeo vya namna hiyo.
Wewe unachangisha kama nani?? Hayo mamlaka ya kuchangisha umepewa na nani??
Serikali imevalia njuga hiyo ishu from the start, ingefaa awasiliane na viongozi wake wa chama chao cha biashara..
Sijui nia yake hasa ila lile ni kosa labda angekua verified na mamlaka yoyote, na kibongo bongo pale ni kua anakwapua credit za PM, yale maokoto inabidi yaingie kwenye vitengo vilivyo chini ya PM.
Bila shaka ikibainika nia yake ni njema basi atarudisha kibunda serikalin na yeye kupewa onyo, japo kutojua sheria hakukupi haki ya kuvunja sheria, ni UTU tu.
Naelewa sana mkuuKuto kujua sheria sio kigezo cha kutokuwa na hatia
(ignorantia juris non excusat)
Uyu lazima ashtakiwe kama washtakiwa wengine sheria haina ubaguzi
Ndo ivo mkuu, sisi wabongo tunatabia ya kuoneana huruma sana na sio kufata sheria lakini sisi sisi tunataka viongozi wafate sheria.Umeandika point mkuu
Umefumbua mengi
Mbona ukitumia akili kiduchu tu unaelewa kua huyo manzi kakosea man.TATIZO LETU WATANZANIA NI KWAMBA TUMEJIFUNGA KWENYE SHERIA BADO PASIPO KUTAMBUA HIZO SHERIA NYINGI NI MBOVU NA ZINANYIMA WATU UHURU.
JIULIZE NCHI NYINGINE WANAFANYAJE?
LABDA TUSEME SHIDA NI YEYE KUTUMIA AKAUNTI BINAFSI, KWAMBA LABDA ALITAKIWA KUTUMIA KITU KAMA AKAUNTI MAALUMU AMBAYO HAIMILIKI YEYE
Tanzania sehemu nyingi hakuna mifumo, hivyo, mara nyingine, hata mtu akikosea kwa kutofuata mifumo na sheria anakuwa hajakosea. Mifumo haifanyi kazi.Mbona ukitumia akili kiduchu tu unaelewa kua huyo manzi kakosea man.
Hizo nchi nyingine ni mtu yeyote anachangisha??
Huyo Niffer ni nani serikalini, ni nani kwa wafanyabiashara?
Kila pahala kuna kiongozi joh, kila pahala pana taratibu zake.
Yaani kwa akili zako na za Niffer ni kua serikali nzima haina hicho kitengo mpaka wewe ujiongeze?? Raisi, PM , mkuu wa mkoa, mawaziri wote wako hapo halafu wewe usie na cheo chochote, bila idhini ya taasisi yoyote ukusanye michango kuingia kwenye account yako binafsi!!! Binafsi kabisaaa
Sema demu anajiamini, nimemkubali kwenye hilo.