Kuchangisha mchango wala sio jambo baya, ni mioyo miovu ya watu

Umeliweka vema mkuu, hakuna ombwe linalobaki wazi. Ombwe lazima mwisho wa siku lazima lizibike, either kwa kufuata sheria au kukiuka sheria
 
Umeliweka vema mkuu, hakuna ombwe linalobaki wazi. Ombwe lazima mwisho wa siku lazima lizibike, either kwa kufuata sheria au kukiuka sheria
Naam.

Hii habari imeonesha mapungufu katika vyombo rasmi. Kuna fursa ya kuunganisha juhudi za vyombo rasmi na watu wa social media ili kupata ufanisi zaidi.

Serikali kushikilia kuadhibu watu tu hakutasaidia kupata ufanisi huu.

Shukurani.
 
eeh gentleman,
embu elezea wadau kwa kina kifupi kidogo, hizo nchi nyingine wanafanyaje?

sheria ipi inanyima watu uhuru kwa mfano kwenye majanga?

ni muhimu sana kufahamu kwamba,
michango yote, misaada yote, hisani zote n.k inaratibiwa na kamatia ya maafa ya kitaifa.

kila mTanzania mwenye mapenzi mema, kwa kibali maalumu na utaratibu wa kamati ya maafa uliowekwa, yuko huru kuchangia na ana haki ya kuchangisha chochote kitu kutoka popote duniani kwa kibali maalumu cha kamati ya maafa.

kinyume na hapo ni hujuma na utapeli.
epuka kutapeliwa zingatia taratibu za kuchangia
 
Yote ni sawa
Hapa katenda kosa
Naamini serikali ina jicho angavu
Itachunguza Nia yake
Na kuona je kama itafaa kuwajibishwa kwenye mkono wa sheria

Wananchi tunaingia chaka Kwa kutojua sheria na taratibu za nchi yetu
ni katika kukosea tunajifunza taratibu, kanuni, sheria na hata katiba ya nchi polepole...

ni imani yangu, hili nalo litaisha kuungwana, wakati jitihada za kwaokoa walionasa kwenye kufusi zikiendelea
 
Taratibu,
tunajifunza kutokana na makosa, na tunasonga mbele kwa pamoja kama taifa
 
Kukosea na kutokosea kunategemea umegusa mkate wa nani, ndio bongo ilivyo ndgu.
 
Tusijufunge kwenye uzio wa kamati na sheria mkuu wangu, Tanzania ina historia ya kuwa na kamati nyingi sana ambazo hazina msaada kwa taifa. Na pia kujifungia kwenye uzio wa sheri pia sio solution yenye manufaa.

Mimi ambacho nitategemea serikali kufanya ni wao kupokea kijiti cha hili zoezi kutoka kwa huyo mwanadada au wasaidiane naye lakini sio uanza kufukua vifungu vya sheria na penal code. Tuje na solution sio kujifanya manunda wa sheria, sheria tunazo nyingi sana mbona nchi bado masikini na maskendo ya rushwa kibao
 
sasa utajifungua lini gentleman, maana kwenye sheria unasema tusijifunge, kwenye kamati nako tusijifunge?

wapokee kijiti kivip wakati utaratibu uko hivyo miaka nenda miaka rudi na hapajawahi kua na hujuma na utapeli kama huu?


kwanza utaratibu na sheria inayosimamia mambo haya unaijua ama umeamua kupasuka tu gentleman?

nini kisichoeleweka na nini dosari au kasoro kwenye utaratibu huo wa wazi na rahisi sana?🐒
 
Embu weka hiyo sheria ya mambo haya maana naona hapa tunarushiana mawe gizani. Nipe vifungu vya sheria. Maana naona kila mtu anakimbilia kwenye kichaka cha sheria lakini hamna aliyeleta hivo vifungu..

Na vipi kuhusu watu kama kina Malisa wanaochangisha pesa mitandaoni? Inatofauti gani na hii, na je sheria inasemaje? Hili jambo sio rahisi kiasi hicho
 
sasa kumbe ni hujui huo utaratibu na sasa utaelewaje gentleman?🤣


kwahiyo ulivyo kua unasema tusijifunge kwenye sheria au kamati ulikua unaelewa unachokisema?

uko wapi kwanza maana dah 🤣
 
Ametumia umaarufu wake kuchangisha ili kuwapa support wahanga
Japo kimsingi kuvunja sheria
Natumai serikali itapima Nia yake na itamsamehe tu ni Mtanganyika mwenzetu
Basi kama amevunja sheria lazima aadabishwe. Hatuangalii nia ya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…