Mimi najiuliza sana, inakuwaje ofisi ya Mkuu wa Mkoa Njombe, wanatuma barua kwa Wafanyabiashara wakiomba mchango kwaajili ya Meimosi na kiasi wamekuandikia kabisa, ina maana hauna machaguzi hapo, ni kama unafanya biashara kwa hisani, wakati kodi unalipia na fee zote unalipia.
Sasa kwanini serikali isifanye shughuli kwa bajeti waliyonayo ? Na watu wanalazimika kutoa wakihofia kusumbuliwa wasipotoa
Lakini hii haijakaa sawa, na huu umekua utaratibu wao kila mara