#COVID19 Kuchanja sasa kuwe lazima, hasa wafanyakazi serikalini. Chanja au achia ngazi

Nimesikitaka sana kusikia kuwa kuna wanoa pokea rushwa na kuwapa watu vyeti kuthibitisha kuwa wamechanjwa korona.
 
We ni mbwa au ndezi au una asili ya nguchiro
 
Acha ujinga na upuuzi wa kulazimisha watu wachanje,we unafaidika nn mi nikichanja,mbn kwny mwendo kasi, uwanjani mipira cj hiz hatuvai barakoa na wameshatuacha,tulifunikwa na damu ya Yesu nyie wafuasi wa shetani mmbaki na ushetani wenu,kwani malauka wachafu wapo wengi na wanawatumia nyie msiojielewa, unadhani ukipigwa chanjo hutokufa,hutougua,chanjo ya ukimwi na malaria iko wapi,pimbi ww
 
Uamuzi mzuri. Tupo pamoja katika hilo.
Mimi sio tu kuacha kazi, hata kama ni kufungwa, niko tayari lakini sitachanja inyeshe mvua liwake jua!
 
Dah,rudia kusoma post zangu vizuri,kama huoni vizuri tumia miwani ataelewa nilichoandika.
 
Ukiwa tayari una information mikononi mwako.
Kutumia akili ni hiari yako, kama kuchanjwa.
 
Kwa hiyo wale watu wote wanaotumia usafiri wa public mfano mabasi ya Mwendo kasi, daladala na tunavyojazana mule hatuwezi kuambukizana? Au wale wote wanaotumia usafiri huo ni Watumishi wa Serikali tu? Watu wote wanaouza bidhaa kwenye masoko na wanunuzi wanaonunua bidhaa hizo wana tofauti gani na hao madaktari na manesi? Au nao ni watumishi wa Serikali. Tunaposafiri kwenye mabasi je? Tunapohudhuria mechi za mpira wa miguu, Yanga Day, Simba Day wale wote ni watumishi wa serikali? What about in supermarkets, kwenye maduka mbalimbali wote wanaohudumia huko ni Civil Servants?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…