Kuchapisha mitihani UK ni kukubali kushindwa?

Kuchapisha mitihani UK ni kukubali kushindwa?

Corruption is a way of life in Tanzania and that is the main issue here.. We need to take drastic measures It subsists in every aspect of Tanzanian life and that makes development a virtual impossibility beyond meager statistical improvements.
 
Hii ni kasumba ambayo imetujaa sana si tu watanzania lakini pia waafrika kwa ujumla,utasikia hata watu wakiringishiana nchi walizonunua vitu,mara ooh " hii kitu ni orijinal from UK/USA na sio kutoka china"
 
Hii ni kasumba ambayo imetujaa sana si tu watanzania lakini pia waafrika kwa ujumla,utasikia hata watu wakiringishiana nchi walizonunua vitu,mara ooh " hii kitu ni orijinal from UK/USA na sio kutoka china"

amna kampuni ya jina yenye kutengeneza bidhaa europe or america nyingi sasa zipo indonsesia, bangladesh and neighbouring countries kwenye cheap labour. Labda maduka ndio yapo huku, Mwisho wasiku wa kumlaumu sio mzungu ni sisi wenyewe kudandia culture za watu in full kiasi wengine waamini atuwezi fanya lolote.

Badala ya kutoa mapendekezo lawama tu atuwezi fanya vitu, hoo sisi sijui tupo hivi. watu hawa ogopa wamesha-loose self awareness every thing european ndio bench mark ya maendeleo bila ya kuangalia yameanzia wapi.

Pole pole tutafika ila tue wakweli, na hili ni moja hawa vijana lazima wasome. Na hii ni njia moja ya kuepa uvujaji wa hali ya juu. Sasa wawafunge miaka mingi watakao kamatwa wanasambaza mitaani.

ps. moto hupo njiani, watasikia, watasikia, kama wanavyokuadisia
 
Afadhali tumrudishe mkoloni kama hatuwezi kujitawala na kujifanyia mambo yatu; after all hakuna faida ya kujidai kuwa tuko huru wakati hali halisi inaonyesha kuwa bado tuna ukoloni uchwara wa kisiasa na kiuchumi. Badala ya huu ukoloni uchwala ni afadhali tuchukue ukoloni kamili tumrudishe malkia na gavana wake.
 
leo nimeshinda siku nzima nasikiliza hotuba za nyerere na kama kweli kuna vyama vya upinzani nchini kwetu kuna maneno mengi sana mwalimu ameyataja wanaweza kuyatumia against ccm kwenye uchaguzi.maovu mengi sana aliyozungumzia nyerere kwenye hotuba zake za zamani ndio yanayofanyika sasa hivi nchini.
labda kama sheria haiwarusu lakini kama wanaruhusiwa ni swala dogo sana kuweka ujumbe wa mwalimu nyerere kwenye kampeni zao.
 
Mpaka leo? kwa vipi? au nawe ilikuvujia?😀

yeah ningemalizia elimu bongo ingekua hivyo siyo yote lakini huwa wanaipata baadhi ndio ukweli wenyewe.

Hivyo nafuu kwenye baadhi ya mitihani ambayo ime-lick. Ni tatizo ambalo uwezi mlaumu mwanafunzi anaetaka ku-pass, bali mlaumu anaetoa hazi ya uanafunzi na kuwapelekea mitihani.
 
Back
Top Bottom