Kinyambiss
JF-Expert Member
- Dec 2, 2007
- 1,374
- 73
Hii ni kasumba ambayo imetujaa sana si tu watanzania lakini pia waafrika kwa ujumla,utasikia hata watu wakiringishiana nchi walizonunua vitu,mara ooh " hii kitu ni orijinal from UK/USA na sio kutoka china"
Mpaka leo? kwa vipi? au nawe ilikuvujia?😀mitihani ya UK inasahihishwa marekani, kupunguza upendeleaji sioni baya kama aim ni kuwafanya wanafunzi wasome.
Yeah ni inavujaga sana hii mitihani ya bongo duh kumbe mpaka leo!!!!!!!!
Mpaka leo? kwa vipi? au nawe ilikuvujia?😀