Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kuna jamaa ana duka kariakoo mke wake ndio msimamizi na muuzaji dukani. Alipewa habari kwamba kuna kijana hua anakuja akija wife na dogo wanafunga duka kama saa nzima wakiwa huko ndani. Jamaa akaweka camera ya siri. Daaah alichoona kidogo ajiue
Hii picha ilikua maarufu ya kenya kama imenti house imejaa google[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hii picha ilikua maarufu ya kenya kama imenti house imejaa google[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]